Waarabuni wa Dubai waomba zabuni ya kuendesha Mabasi ya Mwendokasi

Tuwape Waarabu. Mtaji kwao si shida.
 
Unaifananisha marekani na Tanzania?
Kwani marekani iliteremshwa kutoka mbinguni? Si walianza hivi hivi tu kwa mipango madhubuti kwa kuishirikisha sector binafsi na Leo ndo mana bajeti Yao ni kubwa sana mana Kuna walipa Kodi wengi matajairi kama akina Elon musk badala ya kuwafrusrate matajiri na kukumbatia mamachinga kama alivyofanya jpm
 
Hujui kitu kama kimya. Mashirika yote marekani yanaendeshwa na makampuni au sector binafsi. Hili ni swala la kitaalamu siyo kwamba serikali haiwezi kuendesh hapana ila ni swala la multiplier effect tu
Nitajie nchi ambayo usafiri wa umma inaendeshwa na sekta binafsi
 
Bora muwekezaji maana atapewa masharti kibao kama atakubali usafiri uwe smooth sawa
Sio nae anatuwekea vitu chakavu
Tenda ya nje ni bora maana za ndani kuna wale wa kutakatisha
 
Jibu swali unailinganisha US na TZ?
 
Wawekezaji wanatulipa kwa dola kulipa hiyo mikopo tuliyokopa kwa dola

Daladala ukiwapa kuendesha wana uwezo wa kuilipa serikali kwa dola ili hiyo mikopo ya dola ilipike ?
Kwa hiyo baada ya kubinafsishwa nauli tutakuwa tunalipa kwa dola?

Kama sivyo huyo muwekezaji hizo dolla atazipata wapi ambapo mzawa atashindwa kuzipata?

Ukijigundua ni kilaza sio lazima uchangie, unaweza kusoma na kupita tu.
 
Hakuna hata moja ya nchi ulizotaja usafiri wa umma kuendeshwa na sekta binafsi Tena england walijaribu kumpa mtu binafsi wakamnyang'anya
Top 100 riches wapi marekani na uengereza indicating Wanatengenezwa na serikali kwa kuwapa mashirika wayaendeshe ili kukuza biashara zao ili serikali na wao kuwa wabia (PPP). Serikakili makini yoyote haiendeshi shirika la uma peke yake ili kuleta ufanisi na kutumia pesa kitogo na zingine kwenye huruma zingine. Debt financing is better than equity financing. Jpm alihalibu nchi kwa sababu equity financing was preferred more
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…