Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma

Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma

Teknocrat

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
4,967
Reaction score
11,056
Kama Mkuu wa majeshi ya M23 anavyonukuliwa na shirika la habari la UK, SKY NEWS....

Waasi wa Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Kiongozi wa muungano wa waasi unaojumuisha kundi la M23 alisisitiza Jumapili kwamba majeshi ya serikali yalikuwa na muda hadi saa 9 alfajiri kusalimisha silaha zao.
==================

Congolese rebels say they have "taken" the key city of Goma in the Democratic Republic of Congo (DRC).The leader of a rebel alliance that includes the M23 group reiterated on Sunday that government forces had until 3am to surrender their weapons.

 
Kudos Moderators kwa kuweka sawa,
Ninasinzia mjue....
 
Hapa huo mji acha ukaliwe na Waasi. Labda Wacongo wataona uchungu na akili itawarudia.
 
Hawa ndio wanajeshi wa Kongo
Hapa unategemea nini

1737966356660.jpeg
 
Hao wanajeshi wa SADC warudi tu makwao hakuna wanacholinda
Ni aibu pia kwa JW wanaonekana wako huko kula posh ya UN
 
Ndiyo hivyo. Hakuna maneno zaidi.
M- 23 wameingia Goma jana usiku.
MONUSCO inapokea silaha kutokea kwa Jeshi la Congo.
They are disarming FRDC.
Kuhusu SAMI DRC,Jeshi la SADC,wao apparently hawakuwa na mission ya kupigana kule.
Mission yao ilikuwa logistics, whatever that means.
 
Congo inapaswa kuwa tu na intelligence kubwa, m23 ni muunganiko wa vikundi 1000, si awafitinishe wao kwa wao, hakuna ufalme utasimama kama unavitinishwa
 
Ondoa hii statement ya kipuuzi.
Inaonekana uko huko kimkakati
Aibu kwa jeshi la 6 kwa ubora duniani
Kuanzia sasa M23 watakuwa na mji wao, wenye serikali yao yenye kulindwa na Rwanda na Uganda..
Wamechoka kukaa maporini, sasa wamejitwalia mji ili waishi kama serikali na jeshi lao
This time,hawaondoki Goma tena, na nyinyi wavunja matofali mkijiingiza, ndio mtamuona kabisa Kagame mwenyewe analihutubia taifa la Goma
 
Inaonekana uko huko kimkakati
Aibu kwa jeshi la 6 kwa ubora duniani
Kuanzia sasa M23 watakuwa na mji wao, wenye serikali yao yenye kulindwa na Rwanda na Uganda..
Wamechoka kukaa maporini, sasa wamejitwalia mji ili waishi kama serikali na jeshi lao
This time,hawaondoki Goma tena, na nyinyi wavunja matofali mkijiingiza, ndio mtamuona kabisa Kagame mwenyewe analihutubia taifa la Goma
Hahahhaaaa mkuu umeua , tangu jana hiyo hiyo watu walikua wanayabugia madini mpaka basi

Kumbe m23 wana mpaka mashine za uchimbaji shekhe ,

Ila wataondoka ni hatari sana kwao kuushikilia huo mjini naandika ninachokijua
 
Propaganda ni nyingi kuhusu goma , bado majeshi ya kusaidia yanafanya kazi kubwa kwa sababu pia kuna raia mitaa hiyo hivyo akuna mchakato mgumu kama huo viva jwtz wakongo wana imani nao
 
Back
Top Bottom