Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma

Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma

Kama Mkuu wa majeshi ya M23 anavyonukuliwa na shirika la habari la UK, SKY NEWS....

Waasi wa Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Kiongozi wa muungano wa waasi unaojumuisha kundi la M23 alisisitiza Jumapili kwamba majeshi ya serikali yalikuwa na muda hadi saa 9 alfajiri kusalimisha silaha zao.
==================

Congolese rebels say they have "taken" the key city of Goma in the Democratic Republic of Congo (DRC).The leader of a rebel alliance that includes the M23 group reiterated on Sunday that government forces had until 3am to surrender their weapons.

Kagame anaidai Drc nini ? Mbona anawanyima amani ?
 
Hahahhaaaa mkuu umeua , tangu jana hiyo hiyo watu walikua wanayabugia madini mpaka basi

Kumbe m23 wana mpaka mashine za uchimbaji shekhe ,

Ila wataondoka ni hatari sana kwao kuushikilia huo mjini naandika ninachokijua
Rwanda walikuwa ready kuvamia Goma, achana na M23 ni kuzuga
Sababu serikali ya Congo imeungana waasi wa kihutu

Update hizi, anaingia mwenyewe...


View: https://www.youtube.com/watch?v=40i_rdGrcZk


 
1000346631.jpg
1000346632.jpg
1000346633.jpg


Ila FARDC 🤔🤔🤔
 
Wataulizwa shida yao kisha watapata walokuwa wakikitafuta.

Lakini naona wengi wakifungwa kifungo cha nje, huku wakijishughulisha na kilimo.
Yaaani namaanisha hivi hawa askari wa serikali wamesalimu amri kwa waasi sasa ndipo nikauliza hawa waasi watawafanyaje hao mateka wao?
 
Yaaani namaanisha hivi hawa askari wa serikali wamesalimu amri kwa waasi sasa ndipo nikauliza hawa waasi watawafanyaje hao mateka wao?
" Nilichosikia" hao majesho ya Congo wana katabia leo anaweza kuwa kwenye jeshi la serikali akakaa wee baada ya muda akaona haelewi elewi huyooo akatimkia kwa waaasi ,

Huko nao atakaa weee akiona chenga haooo wanarudi kujiunga tena na jeshi la serikali mtindo ndio huo huo
 
Sasa Rwanda amepata sababu ya kuingia mazima…

1738093859531.png
 
Back
Top Bottom