Waasi katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanasema wamechukua mji muhimu wa Goma

Kagame anaidai Drc nini ? Mbona anawanyima amani ?
 
Hahahhaaaa mkuu umeua , tangu jana hiyo hiyo watu walikua wanayabugia madini mpaka basi

Kumbe m23 wana mpaka mashine za uchimbaji shekhe ,

Ila wataondoka ni hatari sana kwao kuushikilia huo mjini naandika ninachokijua
Rwanda walikuwa ready kuvamia Goma, achana na M23 ni kuzuga
Sababu serikali ya Congo imeungana waasi wa kihutu

Update hizi, anaingia mwenyewe...


View: https://www.youtube.com/watch?v=40i_rdGrcZk

 
Wataulizwa shida yao kisha watapata walokuwa wakikitafuta.

Lakini naona wengi wakifungwa kifungo cha nje, huku wakijishughulisha na kilimo.
Yaaani namaanisha hivi hawa askari wa serikali wamesalimu amri kwa waasi sasa ndipo nikauliza hawa waasi watawafanyaje hao mateka wao?
 
Yaaani namaanisha hivi hawa askari wa serikali wamesalimu amri kwa waasi sasa ndipo nikauliza hawa waasi watawafanyaje hao mateka wao?
" Nilichosikia" hao majesho ya Congo wana katabia leo anaweza kuwa kwenye jeshi la serikali akakaa wee baada ya muda akaona haelewi elewi huyooo akatimkia kwa waaasi ,

Huko nao atakaa weee akiona chenga haooo wanarudi kujiunga tena na jeshi la serikali mtindo ndio huo huo
 
Sasa Rwanda amepata sababu ya kuingia mazima…

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…