20 February 2025
Walungu, Sud Kivu
DR Congo
M23 WAFIKA MJI WA WALUNGU ULIO KILOMETA 46 KUSINI BAADA YA KUUPITA MJI WA BUKAVU
View: https://m.youtube.com/watch?v=d3kSk19niyE
Jeshi la waasi la M23 linaonekana likizidi kuelekea kusini, baada ya kuuteka mji wa Bukavu sasa waonekana wakuwasili Walungu na kukuta hakuna upinzani wowote wa kijeshi hivyo safari yao M23 kuelekea majimbo ya kusini mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ikiendelea kwa kasi kubwa.