Kwa taarifa yako estrn congo ni shamba la mama,hakuna serikali huko,kila Genaral wa jeshi la congo anakikundi chake huko kinacho mchimbia madini,business people wanavikundi vyao huko,ndio maana inakua vigumu kuviondoa hivyo vikundi huko congo,sasa imagine Jeshi la DRC,FDLR ,NYATURA,MAYIMAYI pamoja na vikundi vingine wameungana kupambana na M23,sababu ni kwa sababu masilahi ya hao ma generals na wafanyabishara yatakua hatarini M23 ikishika hatamu katika hayo maeneo,wao wako tayari M23 ichukue kaeneo kadogo lakini hawewezi kukubali M23 ichukue estern congo yote ,kwa kifupi hawataki amani estern congo,wanataka hiyo disorders ili waendelee kufaidika na utajili wa pale.