Waasi wa M23 Wamedhibiti mji wa Bunagana uliopo Mpakani mwa DRC na Rwanda

Mukamantare katika ubora wake!! Je, za siku nyingi??
 
Mbona watusi walikua jeshini tangu zamani katika jeshi la congo,naona wewe utakua interahamwe tu,hao watutsi wa congo walikua serikalini,jeshini hata wakati wa mobutu,lakini baada ya kuja interahamwe wakongo walianza kuwabagua watutsi na kuanza kuwaondoa jeshini na kuwaua na huko uraiani walianza kuwaua na kula ng'ombe zao,ndio wengi kutimkia rwanda na uganda,kwahiyo M23 kipigana hiyo vita ni for their rights ,utake usitake watapigana miaka mingi sana bila kuchoka mpaka kieleweke.
 
AHAHAAHA...Ungejua katika hayo makabila ya wahangaza,waha,wahaya n.k kuna matabaka ya watutsi ndani yao,sio kitu cha ajabu,hawa wote wanamahusiano na hizo nchi za burundi na rwanda kabla ya hii mipaka iliyowekwa na wazungu.
 
Kwahiyo hao M23 wanafanya uasi kama njia ya kuleta amani ?...kwamba wao ndio wazalendo kuliko maelfu ya watu waliokimbia Vita vyao?

...Wasalimie huko Rwanda.
 
Kwanini 80% tu,wale 100% Ni

Kwahiyo hao M23 wanafanya uasi kama njia ya kuleta amani ?...kwamba wao ndio wazalendo kuliko maelfu ya watu waliokimbia Vita vyao?

...Wasalimie huko Rwanda.
Unajua katika familia lazima pawe kiongozi wa kuleta order /displine sasa M23 ndiye kiongozi pekee anaeweza leta order pale estern congo,kuhusu uzalendo M23 ni wazalendo kama wengine ndani ya congo.
 
Unajua katika familia lazima pawe kiongozi wa kuleta order /displine sasa M23 ndiye kiongozi pekee anaeweza leta order pale estern congo,kuhusu uzalendo M23 ni wazalendo kama wengine ndani ya congo.
Kwanini 'order' iletwe na M23 wakati kuna jeshi halali la Serikali ya Drc iliyochaguliwa na raia wa Drc ?....

Viongozi wa EAC waikemee Rwanda iache kuivuruga Drc kwa kutumia uasi bandia wa M23.
mtu chake
 
Aaaa kwaiyo m23 wanachonganisha ugomvi Kati ya Congo na rwanda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…