Waasi wa M23 watamani kufika Kinishasa, Je ipi nafasi ya Tanzania kuinusuru DRC Congo isihanguke

Kwa hiyo kwa ufupi hawa M23 wao wanataka kuipindua serikali au wanataka kujitenga kwenye hicho kieneo kidogo chenye madini muhimu?

Na ikiwa watajitenga wataweza kujitenga, maana kuipindua serikali inaweza kuwa ngumu kwao licha ya wao kuwa wamesala sana, unadhani wanaweza kuwa kama South Sudan? na Je mipaka yao itaishia wapi ni hiyo Goma na kivu tu au watatafuata eneo jingine kwa njia hiyo hiyo ya vita?

Mi nadhani hata kama watafuata mipaka ya lini, hao hawatakubali kuondoka kwenda Rwanda, ingawa Rwanda inawapa support kivita, lakini wao hawawezi kukubali kuporwa ardhi na wakakubali kuiacha na kwenda kuishi Rwanda. Na ikitokea itakuwa kama Israel na palestina, watapigana milele.

Lakini kitu kisicho niingia akilini, inawezekanaje hao M23 waweze kuisumbua Nchi kama DRC?

Maana ukiangalia kwenye ramani kieneo wanacho ishi na kupigania ni hasa Kivu ,na Goma, wao ni wangapi kwa idadi na wana ujuzi kiasi gani na silaha wanazipata wapi kwa njia gani, wanalipiaje, na Je logistically, hao M23 wanawezaje kuwa na nguvu kuliko Jeshi la nchi nzima ya DRC?

Tizama DRC inasaidiwa na South Africa, Kenya,Tanzania, na Malawi.

Na bado M23 wanaweza kupigana hadi kuifanya DRC inapiga mayowe dunia nzima, inakuwaje hapo?
 
Tunamtaka Mama yenu awe Neutral japo tunajua Mshauri wake Mkuu ana Chuki kubwa na Sisi Werevu na Wababe Watutsi.
 
Nyie muliochapwa na Burundi au M23 nyingine.
Ukisikia " tugombelezeeni nitamuumiza" elewa msemaji yuko maji ya shingo
 
Tunamtaka Mama yenu awe Neutral japo tunajua Mshauri wake Mkuu ana Chuki kubwa na Sisi Werevu na Wababe Watutsi.
tunawaonea huruma mjue, mkizingua tutawafurusha mtoke goma, na kama vipi tutaingia kigali kuwaonesha kazi. Tumechoka kuwabembeleza
 
Tunamtaka Mama yenu awe Neutral japo tunajua Mshauri wake Mkuu ana Chuki kubwa na Sisi Werevu na Wababe Watutsi.
Nashauri jeshi la JWTZ liwakopeshe Wa Congo zile Balistic missile kale kamji ka Kigali kawe majivu dk 1
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…