Wababa bora hawafichi wahalifu wezi, mafisadi, wadhulumati, wamwagaji damu zisizo na hatia, na makosa mengine

Ni kweli wanaume wa kinyamwezi ni wavivu sana na hawana mamlaka yoyote ndani ya familia unakuta baba kazubaa yaani Kama mmekaa kikao wote wapo kimya utadhani wanawake. Wanaboa Sana hawa ndugu zangu.
 
Hakuna mwanaume anaependa ujinga hata awe vipi Ila ujue tatizo n Mwanamke mpumbavu.

Kua, Ishi uyaone
 
Ni.eamua kuchukua 15% ya uliyoandika ila 85% nimeona ni upuuzi.
 
Ni kweli wanaume wa kinyamwezi ni wavivu sana na hawana mamlaka yoyote ndani ya familia unakuta baba kazubaa yaani Kama mmekaa kikao wote wapo kimya utadhani wanawake. Wanaboa Sana hawa ndugu zangu.
Kuna kaka yangu mmoja wa kitaa alimchapa mtu makonde baada ya kuitwa Mnyamwezi. Chanzo kilikuwa jamaa alimwita yule kaka Mnyamwezi kisa alitoka majuu, mkaka alikasirika ile mbaya na kumnasa vibao jamaa kwa ajili ya hilo jina tu. Mkaka anasema hajawahi kuona jamii ya kishamba kama Wanyamwezi na Wasukuma.
 
โ€œNo, Woman, Nuh cry.โ€ Nuh is Jamaican for โ€œdon't,โ€ the meaning of the lyric is No, Woman, don't cry.
Haujaambiwa uje kufundisha watu broken English hapa, ujinga gani huu tena?
 
Hujielewi wewe
Huyu ni mwanamme anayeshinda msikitini au chini ya mwembe akinywa kahawa siku nzima huku kavaa shuka aliyojifunikia usiku na mkewe. Mtu wa namna hii hataki kufanya kazi, yeye anataka kubwabwaja tu mitaani huku akitegemea atarudi nyumbani atakuta chakula. Wanaume wa namna hii hawapendi kuambiwa ukweli.
 
[emoji817] nakubaliana na mtoa Mada.... Nature inamtambua mwanaume km mtawala ...mwanamke km mtawaliwa ..,Mtawala akiwa legelege bhac kizazi chote kinaangamia Na huu ni ukweli uliowazi kabisa
 
Mshenzi nini wewe... lofa wewe
 
โ€œNo, Woman, Nuh cry.โ€ Nuh is Jamaican for โ€œdon't,โ€ the meaning of the lyric is No, Woman, don't cry.
Nafuu usaidie maana watu wengi hawaelewi hata jamaa anachomaanisha mule wanatafsiri tofauti kabisa na makusudio ya mwimbaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ