Wababa bora hawafichi wahalifu wezi, mafisadi, wadhulumati, wamwagaji damu zisizo na hatia, na makosa mengine

Wababa bora hawafichi wahalifu wezi, mafisadi, wadhulumati, wamwagaji damu zisizo na hatia, na makosa mengine

Kuna kaka yangu mmoja wa kitaa alimchapa mtu makonde baada ya kuitwa Mnyamwezi. Chanzo kilikuwa jamaa alimwita yule kaka Mnyamwezi kisa alitoka majuu, mkaka alikasirika ile mbaya na kumnasa vibao jamaa kwa ajili ya hilo jina tu. Mkaka anasema hajawahi kuona jamii ya kishamba kama Wanyamwezi na Wasukuma.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo alipitiliza, labda haujua kuwa wanaotoka majuu wanaitwa wanyamwezi. Hawa ndugu zetu sijui wana tatizo gani..
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huyo alipitiliza, labda haujua kuwa wanaotoka majuu wanaitwa wanyamwezi. Hawa ndugu zetu sijui wana tatizo gani..
Mshikaji hataki fananishwa na Mnyamwezi hata kidogo. Licha ya kuwa washamba, anasema vijana wao (Wanyamwezi na Wasukuma) wakifikisha miaka 14 au 15 wakiwa wanabalehe, wazazi wao wanawapa ng'ombe kwenda kuchunga mbali na nyumbani ili wakajifunze kuduu na hao ng'ombe zao. Kina Kigwangallah wameyapitia haya. nami natangaza vita, ole wake mtu mtaani si humu JF aniite Mnyamwezi...haki ya nani atajuta kuzaliwa. Tuheshimiane.
 
Unachosema kina ukweli ndani yake

Ila umewapa Wanawake wa Jf mapumziko kidogo na furaha ya aina fulani

Kwa ujumla
mfumo dume uliosahihi,ndio maisha sahihi kwa kila mpenda maisha

Na
Uislam sahihi,unamtaka Mwanaume kupigania familia yake kuanzia nyanja ya maendeleo,elimu,afya,amani,furaha nk

ila weengi wanaojiita Waislam,hawaujui Uislam wao
Wanaishi kwa mazoea
Na hii husababisha baadhi ya Watu,kuja na kuutukana/kuukashifu Uislam,kwasababu ya Watu fulani.....

Na hili si sawa
Mtume wetu ﷺ anasema
Mwenye kupigana na kutetea Familia yake(kisha akauwawa)Basi huyo amekufa Shahidi,
Mwenye kupigana kwa kuitetea Nchi yake(kisha akauwawa)Basi huyo amekufa Shahidi,
Mwenye kupigana kwa ajili ya kutetea Mali yake(kisha akauwawa)Basi huyo amekufa Shahidi,
Mwenye kupigana kwa ajili ya kutetea heshima yake(kisha akauwawa)Basi huyo amekufa Shahidi

Kiujumla
Uislam haumfundishi Mwanaume kuwa legelege kama wasemavyo wasemaji

Bali uimara wa Akili,Elimu,Mwili ni jambo la lazima kwa kila Mwanaadam hususan Mwanaume
 
Mshikaji hataki fananishwa na Mnyamwezi hata kidogo. Licha ya kuwa washamba, anasema vijana wao (Wanyamwezi na Wasukuma) wakifikisha miaka 14 au 15 wakiwa wanabalehe, wazazi wao wanawapa ng'ombe kwenda kuchunga mbali na nyumbani ili wakajifunze kuduu na hao ng'ombe zao. Kina Kigwangallah wameyapitia haya. nami natangaza vita, ole wake mtu mtaani si humu JF aniite Mnyamwezi...haki ya nani atajuta kuzaliwa. Tuheshimiane.
Mimi nitaanza kukuita hivyo [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 
Huu uzi Mshua wangu angekuwa hai unamuhusu,yeye alikuwa anajua kugegeda tu ila kutunza watajua Mama zao..
 
Back
Top Bottom