Si kweli mdogo wangu. Huyo kaka ni mzima kabisa. Ila ukweli ni kwamba haya mambo hayahitaji majoto....Mwendo wa ki-afande afande ni nuksi kabisa. Ndo maana kuna sheria ya kuzuia hata wanawake walio kwenye ndoa kubakwa na waume zao!
Mhhhh...inawezekana wewe ni strategist wa ofisi kuu...Mtu wakawaida kama Mzee DC hawezi kupata idea za nguvu kiasi hicho tena kwa muda mfupi.
Kweli huyo kaka alihitaji kuneutralize mkwara kwanza!
Umeona eeee, inaelekea alivyoitwa tu alikurupuka bila hata kujiuliza mara mbili pupa ilimponza
Ni kweli kabisa Mzee DC (ingawa hili jina la mzee silipendi lol) huyu mkaka wa watu ni mzima kabisa, nikisema wananiuliza nimejulia wapi mwe! Ule mkwara wa yule dada ulifanya kazi kisawa sawa
Halafu we mbona mchokozi hivyo? mwone kwanza
Maty,
naomba kwanza unijibu....Awali umesema binti kaja mjini kuhudhuria semi, sasa historia ya kijana kwamba ni kiwembe kaipata wapi?
Ila kama ni kiwembe basi ni kwa kuku wa kienyeji...Kama angekuwa na maufundi na uzoefu wa kukutana na wataalamu wa shughuli kazi yake ingekuwa ndogo na rahisi....
Naomba niishie hapo kwani uwanja wenu umejaa wajukuu kibao.
Ila Mzee DC angeanza kwa kutoa caution na shukrani...na kumalizia kuwa ..."kazi yangu ya kufinyanga vyungu huifanya kwa muda usiozidi 4hrs. Sasa pamoja na kusasambura (jambo ambalo nakushukuru sana kwa kunitunuku hii heshima ya ku-appreciate uumbaji...live bila zengwe), unao huo muda?"
Hahaha babu huyo dada wala hajui kama huyo kaka ni kiwembe, sijui ilikuwaje mpaka akamfanyia hivyo mkaka wa watu. Inawezekana huyo dada ndio zake hizo
Huyo mkaka mwenyewe ndio alietoa siri kwani hata ye mwenyewe hakuamini kilichomtokea, na hakudhani yule mdada anaweza kuwa kauzu vile
hehehehehe!we kabinti weweMaty ulichokutana nacho weekend iliyopita, naombea usikutane nacho weekend hii. Umechenichekesha hadi basi. Dah nitaiga hii ila baada ya huyo mtu kumalizia haka kakibanda kangu hapa!
Hahahaha kweli babu labda kama kuna mtu alimtonya ila sidhani, inawezekana huyo dada ndio zake hizo