Wababa/kaka hivi ni kweli

Ha ha ha, Teamo kwani hiyo inakua ni hongo? Hapana ni wajibu tu......lol

hawa watu wagumu bana LD siku hizi, hawajui wajibu wao kabisa. Ukishangaa huo wajibu utaambiwa utoe wewe mdada lol
 
njoo unifanyie mimi uone mwenyewe, wala usiulize
 
Sisi tulio safi hatuendagi guest kufanya hayo mambo ya dhambi na ndo maana tumeshindwa kuchangia. Guest huwa tunalala tu tukisafiri kikazi na si vinginevyo. Hata hivyo ninawaonya vijana acheni UZINZI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
There must be other explanations... hainiingiii akilini, wanaume walivyo warafi na wakware, apate mpya na ashindwe!!! No way....dada alikuwa na yake
 
Mhhhh...inawezekana wewe ni strategist wa ofisi kuu...Mtu wakawaida kama Mzee DC hawezi kupata idea za nguvu kiasi hicho tena kwa muda mfupi.

Kweli huyo kaka alihitaji kuneutralize mkwara kwanza!
Ndio maana yake maana mwanamke katafuta udhaifu wa jamaa kapata... na jamaa angetumia udhaifu wa wanawake
 
Alimpanikisha ndo maana jogoo akashindwa kukwea mtungi,mapenzi mawasiliano.
 
Mmmh hizi tungo tata jamani khaaa!!
 
ni kweli kabisa mzee dc (ingawa hili jina la mzee silipendi lol) huyu mkaka wa watu ni mzima kabisa, nikisema wananiuliza nimejulia wapi mwe! ule mkwara wa yule dada ulifanya kazi kisawa sawa

umejuaje?
 
Jamaa alipatikana..sasa kutaka kote mbona kitu chini?!! nadhani kususiwa ilimfanya apanic, hii inaweza kuwatokea wanaume wengine pia..Yani mdada ajilaze tu na kukukaribisha tena kwa masharti umfikishe, lazima mwanaume aone nyota kwanza!!..ha ha
 
Unajua hata mie bado najiuliza........ alizima taa?
 
confo alikosa hyo jamaa pia alikuwa haamin kama anakabdhiwa kula tunda!!!
Kuna wengine nuksi hata kama ukitoa mkwara vp tunda linaliwa bila wac!!!
 
Huu uzi ulipofikia naamini naruhusiwa kwenda off TOPIC...lol... Maty huyo
mkaka kumpooza asipoteze kabisa nguvu inatakiwa kurecommend mdada..
 
Ndio maana yake maana mwanamke katafuta udhaifu wa jamaa kapata... na jamaa angetumia udhaifu wa wanawake

Kweli Gaga,

Ila kwanza lazima ujue kwamba wanawake nao wana udhaifu wao. Nadhani huyo brothermen labda hakuwa na uzoefu wa kutosha kulijua hilo.

Halafu uweze kufanya maamuzi ya haraka sana. Kumbu huyo jamaa alikuwa na sekunde chache sana, ama kuamua kutimua mbio, kuendelea hivyo hivyo au kumgeuzia kibao dada ili siku nyingine asicheze na bull's horns!!
 
Huu uzi ulipofikia naamini naruhusiwa kwenda off TOPIC...lol... Maty huyo
mkaka kumpooza asipoteze kabisa nguvu inatakiwa kurecommend mdada..

Mhhhhh...Asha wewe, unataka kuelekea wapi? Kwamba a friend in need...ili Maty amwomfiche uso huyo bitozi? Hivi kweli hiyo huwa ipo???

Ngoja tumsubiri Maty atupe jibu!!
 
Jamaa alipatikana..sasa kutaka kote mbona kitu chini?!! nadhani kususiwa ilimfanya apanic, hii inaweza kuwatokea wanaume wengine pia..Yani mdada ajilaze tu na kukukaribisha tena kwa masharti umfikishe, lazima mwanaume aone nyota kwanza!!..ha ha

BJ,

Ukishawekewa masharti basi hiyo ni kesi ya ubakaji..Sheria zentu zisingekuwa za upande mmoja huyu dada alitakuwa kufikisshwa mbele ya pilato!
 
Huu uzi ulipofikia naamini naruhusiwa kwenda off TOPIC...lol... Maty huyo
mkaka kumpooza asipoteze kabisa nguvu inatakiwa kurecommend mdada..
Aaaaah wapi! keshapoteza malengo jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…