Ndio huo udhaifu nilisema autumie maana mwanamke angepigwa kidogo du anakuwa mnyonge na kuanza kulalamika hapo ndio kidume kinaibuka na maujuzi ya kubembeleza mwisho kitu na boxKweli Gaga,
Ila kwanza lazima ujue kwamba wanawake nao wana udhaifu wao. Nadhani huyo brothermen labda hakuwa na uzoefu wa kutosha kulijua hilo.
Halafu uweze kufanya maamuzi ya haraka sana. Kumbu huyo jamaa alikuwa na sekunde chache sana, ama kuamua kutimua mbio, kuendelea hivyo hivyo au kumgeuzia kibao dada ili siku nyingine asicheze na bull's horns!!
Mhhhhh...Asha wewe, unataka kuelekea wapi? Kwamba a friend in need...ili Maty amwomfiche uso huyo bitozi? Hivi kweli hiyo huwa ipo???
Ngoja tumsubiri Maty atupe jibu!!
umejuaje?
Ha!ha!ha! lol
Aaaaah wapi! keshapoteza malengo jamaa
Ndio huo udhaifu nilisema autumie maana mwanamke angepigwa kidogo du anakuwa mnyonge na kuanza kulalamika hapo ndio kidume kinaibuka na maujuzi ya kubembeleza mwisho kitu na box
Mbu nakuuliza bana hivi nikakujia na mkwara kama huo nitakumaliza makali ghafla ee lol
ha ha ha .... Umenisoma eeeh??? lol.. lakini ngoja nisikie kamsaidia vipi.. kweli a friend in need...
Asha,
Hivi hilo jambo la kumwonea mtu huwa linawezekana kweli? From another world of "she" beings!!!!
Kwetu sisi ni kawaida sana kwa sababu wengi huwa tunawinda sana na hatupati. Wakati mwingine tunaishia hata kusomba somba mizoga. Kwa hiyo mtu anayehitaji huruma inakuwa blessing in disguise ingawa inabidi kuwa na uhakika kwamba marudi hayaruhusiwa au yategemee na mtoa huduma mwenyewe (siyo repeated requests)!!
Unajua hata mie bado najiuliza........ alizima taa?
.DC Kuonea huruma to the extent akajua unamuonea huruma mno is not good, maana wengi huchukulia advantage katika circumstances kama hizo, ni vizuri kumuonea huruma huku unampasha ukweli rafiki yako katika mistakes anazofanya... Najua wakaka hukutana na mambo mengi (nina guys marafiki we talk about these things..) hivyo naelewa to some extent.. Na suala la kuzoa mizoga labda uwe una gunge na unaharaka ya kurealese but kukosa kabisa mwanamke/mwanume wa one night stand/F** buddy naona siku hizi ndo imekua worse... labda sijui kama unakosea vijiwe...
Inabidi Maty atusaidie kwa hilo..ila vyovyote vile mamii, lazima mtu utahamaki mbona nasusiwa au kuachiwa zoezi mwenyewe!!..he he
Mkaka wa watu yuko vizuri tu sa sijui ule mkwara ulimdhoofisha, kaaazi kweli kweli
.
Asha, naomba unijibu tu kirahisi nielewe. Suala la kumwonea huruma mtu (rafiki wa kiume) aliyepatwa na matatizo kama hayo anayoongelea mati na kumpatia hazina yako ili akate kiu na ku-prove kwamba bado yuko fit linawezekana?????????
Kweli ili uwe kauzu hivo si lazima taa uzime, imagine miguu kaachia huku anasema hivo.... ndio maana mkaka wa watu alikimbia lolInabidi Maty atusaidie kwa hilo..ila vyovyote vile mamii, lazima mtu utahamaki mbona nasusiwa au kuachiwa zoezi mwenyewe!!..he he
BJ,
Mbona nimeshakwambia kuwa kitu kama hicho ama ni adhabu au kosa la jinai. Huwezi kumfanyia mtu namna hiyo halafu useme ni friendly match!!
Maty bana....khaaa!
Hebu nambie, ulikuwa unachungulia dirishani au huyo mdada alikusimulia?
Umemwamini? Kama ameliwa lakini akakuongopea hivyo ili ujue hajaliwa?
Na uzee wangu huu, unisaulie? walahi lazima nikukule hata kwa kidole gumba cha mguu wa kushoto
Kumbe macho ya wazee yanaona vitu kwa kwango sawa????? Huyu Maty bado ana kesi ya kujibu...Ukizingatia kwamba lilikuwa tukio la aibu kwa kaka wa watu kwa hiyo isingekuwa rahisi kwake kusimulia!!
Maty hawezi kukwepa maswali ya timu ya wababu!
Maty bana....khaaa!
Hebu nambie, ulikuwa unachungulia dirishani au huyo mdada alikusimulia?
Umemwamini? Kama ameliwa lakini akakuongopea hivyo ili ujue hajaliwa?
Na uzee wangu huu, unisaulie? walahi lazima nikukule hata kwa kidole gumba cha mguu wa kushoto