Wababa/kaka hivi ni kweli

Wababa/kaka hivi ni kweli

Ila usikosee ukaenda kule kwetu kule...mtu anakula tu bata hata ukipiga mkwara, tena ukipiga mkwara ndo kwanza naanza kujiandaa kukutana na timbwili sasa hapo kitachotokea sijui....

kweli vidume tunatofautiana, huyu dada angekutana na wale ambao,
hizi timbwili timbwili ndo zao, angejuta kumfahamu!
kuna jamaa ambao bila mieleka, sarakasi na kukurukakara hajala mzigo bado!
nakumbuka kuna mshkaji mmoja alikutana na timbwili la kula mzigo kwa mkwala,
matokeo yake mpaka anamaliza kula mzigo, akajikuta ana ramani kibao mwilini za kung'atwa,
lakini alimaliza kutafuna mzigo kama kawa.....................................
 
Jamani kwani walikwenda kutumia nguvu au kufanya romance? Romance ni pamoja na kauli nzuri jamani. Au tuseme unaweza ukafuraahia we unakula mzigo na mwenzako anasoma gazeti au anakwambia maliza upesi nawahi mahali. ktk mazingira kama hayo hata mkuyaati wangu utasinyaa tu.
 
Kila siku nawaambia wakinadada hiyo ndo njia ya kuepuka kubakwa.ukiona umebanwa kwenye kona vua mwenyewe jilaze chini mwambie anze kazi uone atakavyosepa fasta

...............mmmh!don't try this at home........................
 
Hahahahaaha duh huyo dada ni kauzu sana, ila hakukutana na mjanja... sasa sikiza nikwambie, mwanaume angemsoma kwanza then akaanzisha rough s.x, angepanda kitandani amvute kwa nguvu vibao kama vitatu vya makalio, hivi mwanamke angeanza kulalamika, ile kulalamika tu basi mwanaume angerudi kwenye mood ya mapenzi
 
Maty.....Are you talking from your experience with him!?

Nijaribishe mie uone moto wake! Yaani hapa bendera chuma, mlingoti chuma!

Hahhahaha lol we masaki una vituko nimechekaje asubuhi hii mwe

Ni kweli unaweza ukashindwa kupiga mechi kabisa coz hilo ni jambo la kisaikolojia,ila inatokea kwa wanaume wasiojiamini,kwani hujawahi kuona jamaa ana mwili kama ghorofa ya kilimanjaro kempiski halafu anatishwa na kajamaa kadogo kama punje ya unga wa ngano!Kauli ina nguvu yake kama haujiamini,ila ukijiamini pamoja na mkwara wake unapiga game mpaka anakimbia na kufuli mkononi!!
well said bro!

Labda jamaa alikuwa keshakula wengine ka wawili hivi siyo bure.manake kama jamaa ni kiwembe basi hakuwa na bahati na huyo binti.
Huyu binti anatakiwa akutane na kijana mwenye ukame...aangalie kama.....kesho yake ataenda kazini.
Hahahaha lol

usijaribu kukopi da maty. unaweza ukaanza na bit halafu aamini nawewe uko fit akuweka kwa kundi la mafundi ukaja kimbia lol
Hahahaha nashukuru kwa kunifungua macho maana mi nilidhani labda huu mkwara unafaa lol

nakuunga mkono jamaa kwanza kazoe kubembelezwa sasa kakutana na mkwara,isitoshe hicho kitisho hakiwez kufanya kazi kama mtu unaUKAME wa miez 6.mbona sisi kwetu wakat wa kufanya mambo bint anakwambia 'fanya ukimaliza nifunike' unafanya mambo ukimaliza unamfunika unaondoka zako.

Mhmhm mkuu heshima yako, Uzi naona umetulia sana lakini hebu fafanua huko nyuma ya pazia(huyo mdada), ina maana huyo dada ana kimzizi cha kuzingua wanaume wanaomfuatilia au ilitokea tu kwa mshikaji siku hiyo? maana huenda ikawa kuna namna ya mizinguo fulani hivi.

Nakupa mfano, kuna baadhi ya wanawake walioolewa waume zao huwa wanawatega ki-madawa ili tu wasiweze ku-do au kumfanya jamaa/men Jogoo ashindwe kuwika pale anapotaka kutoa the needful kwa mdada/mwanamke ambaye ni mke wake!

Hilo ulilotoa ni funzo tosha naamini tutajipanga vema hata kama demu akipigwa mikwara tuione ya kawaida, but please tuwekeee secrete behind huyo mdada kufanya hivyo! ni kimzizi anatumia au baada ya kula vya watu ili asilipe the needful au??

Asante, nawasilisha!
Huyo mdada alikua ni mgeni alikuja kwa ajili ya semina sasa sijui ana kimzizi maana kaka wa watu hana hamu
 
Hahahahaaha duh huyo dada ni kauzu sana, ila hakukutana na mjanja... sasa sikiza nikwambie, mwanaume angemsoma kwanza then akaanzisha rough s.x, angepanda kitandani amvute kwa nguvu vibao kama vitatu vya makalio, hivi mwanamke angeanza kulalamika, ile kulalamika tu basi mwanaume angerudi kwenye mood ya mapenzi

Hahahaha gaga we ni noma hebu zionee huruma mbavu zangu asee
 
Hahaaaaaaaa Maty huwezi amini nimepata picha ya dada alivojinyoosha halafu jongoo wa huyo kaka ulivolegea..........................!mh ngoja niwahi watoto nisije nikawakosea adabu watu humu.
Mimi pia looo.. naona kabisa kajazia bonge la baunsa... au ametahiriwa hana hisia kabisa
 
kweli vidume tunatofautiana, huyu dada angekutana na wale ambao,
hizi timbwili timbwili ndo zao, angejuta kumfahamu!
kuna jamaa ambao bila mieleka, sarakasi na kukurukakara hajala mzigo bado!
nakumbuka kuna mshkaji mmoja alikutana na timbwili la kula mzigo kwa mkwala,
matokeo yake mpaka anamaliza kula mzigo, akajikuta ana ramani kibao mwilini za kung'atwa,
lakini alimaliza kutafuna mzigo kama kawa.....................................

Watu mna visa nimecheka mpaka basi mwe!
 
Hahahahaaha duh huyo dada ni kauzu sana, ila hakukutana na mjanja... sasa sikiza nikwambie, mwanaume angemsoma kwanza then akaanzisha rough s.x, angepanda kitandani amvute kwa nguvu vibao kama vitatu vya makalio, hivi mwanamke angeanza kulalamika, ile kulalamika tu basi mwanaume angerudi kwenye mood ya mapenzi

Ha ha ha ha ha heheeeeeeeeeeeeee mweeeeeeeeeee jamani nimechekaje mpaka mkoloni kaniangalia ha ha ha ha ha ha
 
Hahahahaaha duh huyo dada ni kauzu sana, ila hakukutana na mjanja... sasa sikiza nikwambie, mwanaume angemsoma kwanza then akaanzisha rough s.x, angepanda kitandani amvute kwa nguvu vibao kama vitatu vya makalio, hivi mwanamke angeanza kulalamika, ile kulalamika tu basi mwanaume angerudi kwenye mood ya mapenzi
hahahahaaaaaa nimecheka sana Gaga, hivi huwa unafikiria nini, kweli aisee maana mwanamke angesema unaniumiza anaongeza bao la pili kali...we viiiipi anazidisha mwishowe anakuwa mlenda mwenyewe
 
Hiyo hutokea tena sana tuu,sababu huyo mwanamke anakuwa haja jitune kimapenzi,hivyo anafanya tuu aepushe usumbufu,kuliko kukutana na mwanamke wa dizaini hiyo ni bora kutafuta sabuni!!
 
Maty,

Hiyo inaitwa corporal punishment...Nani anaipenda?
 
aaaaiiiiiiiiiiii!!! makakaa ganii huyoo?? aogopa hali mdada kajianika na vifaaa vyooooteeee njeee aaaiiiiii!!!!! hawezi tu kaziiiii au mdadaaa auziii akichojoaaa!!!!!! sijashawishika!!!

Si kweli mdogo wangu. Huyo kaka ni mzima kabisa. Ila ukweli ni kwamba haya mambo hayahitaji majoto....Mwendo wa ki-afande afande ni nuksi kabisa. Ndo maana kuna sheria ya kuzuia hata wanawake walio kwenye ndoa kubakwa na waume zao!
 
Kuna hii stori wapendwa, maana kwanza nimecheka kuliko maelezo

Huyu mkaka ni kiwembe balaa, yaani sketi haimpiti kila siku kubadilisha tu wadada. Ila kuna siku akakutana na kiboko yake. Sasa juzi kati kakutana na mdada amekuja kwa ajili ya semina mahali, kama kawaida akamtongoza na hivi mdada ni mgeni hapa basi akawa anamtoa out jioni anamzungusha zungusha kuona mji, anampeleka club na mambo mengi tu ambayo yalikuwa yanamtobolea mfuko vilivyo. Lakini kila akiomba mchezo anaambiwa subiri subiri.

Baada ya kula kwa sana vihela vya jamaa siku hiyo mdada akamuita akamwambia leo nataka nikupe, mkaka wa watu kachekelea hatimae ndege kajinasa, basi baada ya kufika chumbani mdada akaanza risala "umening'ang'ania sana nikupe nikupe sasa leo nakupa na ole wako usiniridhishe utanitambua nakwambia, tena kwa sauti kavu kabisa akasaula akalala njoo sasa ule unazubaa nini? na ole wako narudia ole wako ushindwe kumaliza chakula.

Duh! mkaka wa watu ikabidi akanawa aanze kula unaambiwa zubri iligoma kunyooka kila akitaka kula wapi ka mlenda akajitahidi tahidi mwisho akamaliza sa si hakuweza vizuri basi mdada wacha aanze kumshutumu si nilikwambia lazima kazi uifanye vizuri sa ndio umefanya nini? na leo huondoki mpaka niridhike haya fanya fasta akaenda kujianika tena kwa bed safari hii mkaka wa watu kujaribu ndio akashindwa kabisaaaaaa bora mara ya kwanza alijaribu.

Hivi wakaka ni kweli mdada akikuanzia na mikwara ya hivi ndio unakua kushinei ee

Alipania mno huyo kaka ako ndo maana akasahau hata kupiga angalau valuu
 
Hahahahaaha duh huyo dada ni kauzu sana, ila hakukutana na mjanja... sasa sikiza nikwambie, mwanaume angemsoma kwanza then akaanzisha rough s.x, angepanda kitandani amvute kwa nguvu vibao kama vitatu vya makalio, hivi mwanamke angeanza kulalamika, ile kulalamika tu basi mwanaume angerudi kwenye mood ya mapenzi

Mhhhh...inawezekana wewe ni strategist wa ofisi kuu...Mtu wakawaida kama Mzee DC hawezi kupata idea za nguvu kiasi hicho tena kwa muda mfupi.

Kweli huyo kaka alihitaji kuneutralize mkwara kwanza!
 
Back
Top Bottom