Wababa muwe mnajali wake zenu

Ushauri mzuri sa NE ila siku zote unapotaka kumbadilisha mtu unatakiwa utumie maneno yasiyo na ukali, usiwe na jazba na uongee kiupendo, huruma na kwa utaratibu. Isiwe kama unampa mipasho ile ya kwenye taarabu. Sawa eeh?
Ngoja nikugongee kathanks.

Husninyo...nami nakupa senksi..umemwambia maneno mzuri kabisa...hope atayafanyia kazi! maana naona ana hasira huyoooo!!! mhhh Pole zake!
 
Husninyo...nami nakupa senksi..umemwambia maneno mzuri kabisa...hope atayafanyia kazi! maana naona ana hasira huyoooo!!! mhhh Pole zake!

ahsante shostito. Huyu mpendwa wetu huwa anaporomosha masredi ya ajabu bora leo ameongea la maana nimeona nimgongee thanks.
 

Leo nimeamua kuwapa dozi kubwa, tena huyo Allien nina wasiwasi nae sana bcoz he has alot of technics and am not sure if he is committed or not.


Kama niko committed au siko committed; that is not an issue here. Hili ni jukwaa na kuelimishana WHERE WE DARE TO TALK OPENLY. Of course ni vema basi kukiwa na basis ya hiyo openness.

Respect.

so what do u need me to clarify?



Allien kweli ni Allien haswaaa
Mwenzio hapo ktk RED alitaka uthibitisho ili kama uko commited akutokee kama yule MUME WA JIRANI


Yaani MUME WA JIRANI anakufanyia yote haya (RED)??? Halafu kumbe unamfanya zoba (BLUE)
Halafu ukimchoka huyo atafuatia MUME WA JIRANI YAKE JIRANI, halafu MUME WA NDUGU YAKE JIRANI then MUME WA BABA AKE JIRANI, ukimaliza waume za majirani watafuatia MAKAKA WA MAJIRANI . . .
Kweli Allien kasema, thread zako ndo zina majibu yote
Nakushauri uanze dozi za ARV mapema
 
nadhani huyu NE anatakiwa apatiwe mwanasaikolojia mzuri .
mimi naona ana matatizo makubwa kwenye ulimwengu wake unaomzunguka.
Kama angekuwa anatokea IRINGA tungekuwa tunasema mengine
pole sana NE na kweli ww ni NE.
narusha lapa
 
Tatizo wake zetu hamtupetpet knye mamboz hamjitumi kama vmada, unategemeaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…