Keren_Happuch
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 1,874
- 935
Ushauri mzuri sa NE ila siku zote unapotaka kumbadilisha mtu unatakiwa utumie maneno yasiyo na ukali, usiwe na jazba na uongee kiupendo, huruma na kwa utaratibu. Isiwe kama unampa mipasho ile ya kwenye taarabu. Sawa eeh?
Ngoja nikugongee kathanks.
Husninyo...nami nakupa senksi..umemwambia maneno mzuri kabisa...hope atayafanyia kazi! maana naona ana hasira huyoooo!!! mhhh Pole zake!