Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

Heparin

JF-Expert Member
Joined
Sep 24, 2021
Posts
242
Reaction score
1,141
Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
  1. Simba SC
  2. Zamalek SC
  3. Wydad AC
  4. ASEC Mimosas
  5. RS Berkane
  6. AS Vita Club
  7. CS Sfaxien
  8. ZESCO United
  9. Etoile du Sahel
  10. Coton Sport de Garoua
  11. USM Alger
  12. Primeiro de Agosto
  13. Asante Kotoko
  14. Hearts of Oak
  15. Stade Malien
  16. Real Bamako
  17. Kaizer Chiefs
  18. Vipers SC
  19. Power Dynamos
 
Kwamba hizo zinaenda shirikisho? Kama ndivyo basi wabovu kwa wabovu....
 
Hawa wakubwa wote wapo shirikisho, Simba mjipange muache ubabaishaji vinginevyo mtaishia makundi.

Simba SC 🇹🇿
• Zamalek SC 🇪🇬
• Wydad AC 🇲🇦
• ASEC Mimosas 🇨🇮
• RS Berkane 🇲🇦
• AS Vita Club 🇨🇩
• CS Sfaxien 🇹🇳
• ZESCO United 🇿🇲
• Etoile du Sahel 🇹🇳
• Coton Sport de Garoua 🇨🇲
• USM Alger 🇩🇿
• Primeiro de Agosto 🇦🇴
• Asante Kotoko 🇬🇭
• Hearts of Oak 🇬🇭
• Stade Malien 🇲🇱
• Real Bamako 🇲🇱
• Kaizer Chiefs 🇿🇦
• Vipers SC 🇺🇬
• Power Dynamos 🇿🇲
 
Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
  1. Simba SC
  2. Zamalek SC
  3. Wydad AC
  4. ASEC Mimosas
  5. RS Berkane
  6. AS Vita Club
  7. CS Sfaxien
  8. ZESCO United
  9. Etoile du Sahel
  10. Coton Sport de Garoua
  11. USM Alger
  12. Primeiro de Agosto
  13. Asante Kotoko
  14. Hearts of Oak
  15. Stade Malien
  16. Real Bamako
  17. Kaizer Chiefs
  18. Vipers SC
  19. Power Dynamos
Timu zote izo zimebaki jina tu. Zamalek ashachoka uyo wydad kauza wachezaji wake tegemeo karibu wote ndio maana hata msimu huu ameyumba sana. Sema simba nae sasa hivi tia maji tia maji lakini kama angekua yanga anapiga hao wote bila shida kabisa
 
Halafu kwenye champion kutakuwa kwepesi kinoma, kweli alikoroga yanga asipaache
Tatizo mmekariri majina ya timu ila sio ubora wa timu, hizo zilizoshindwa kufuzu klabu bingwa ni timu zilizokuwa na majina makubwa yaliyoporomoka viwango Sasa inaenda kucheza dhidi ya timu zilizozifanya hizo timu ziporomoke. Yanga inaenda kucheza na wabora wa hao waliobaki na majina tu.
 
Watu wamekalili ukubwa wa majina ya timu na nchi ukubwa kisoka wa nchi zinazotoka izo timu hawaangalii ubora. Sasa kama uyo asante kotoko hana nini cha kutishia amani.
 
1717600313622.png
 
Back
Top Bottom