Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

Zamelek bingwa wa shirikisho kachoka ? Huu ni uhaini dhidi ya mpira.Bingwa wa shirikisho aliyemfunga bingwa wa kihistoria awe mchovu.Simba kafungwa nje ndani na Ahly au wewe ulikuwa kijijini?Unaijua Ahly ya club bingwa au unaiongelea Ahly ya mechi mbili unaingia fanal.
Mnaichukulia sana poa yanga hata kwa mamelod sundowns mlisema atapigwa nyingi badala yake sundowns akapota kwa mbeleko. Zamalek achague uwanja wowote muda wowote kwa yanga anakalishwa mapema tu
 
Round ya pili inategemea rank timu 10 kwenye rank ndio zinaanzia round ya pili. Hivyo kama 4 zitaenda shirikisho Yanga itaingia kwenye timu 10 za kuanzia round ya pili.
Sio round ya pili ni round ya kwanza, Simba na Yanga zitaanzia round ya kwanza kwenye michuano watakayoshiriki, hawata anzia hatua za awali
 
ball.jpg
 
kaizer aendi shirikisho, stellenbosch and
Sekhukhune United.

egpty ligi bado mbichi

hii list ya uongo,
Ligi ya Egypt itachelewa kuisha, yanachukuliwa matokeo ya last season ambayo yaliwabeba Al Ahaly, huu ni mwaka wa pili mfululizo wanatumia mfumo wa matokeo ya last season.
 
Hakuna sheria ya hivyo kwa Africa, hiyo sheria ipo kwa UEFA huko sio CAF. Bingwa wa kombe la shirikisho hatocheza klabu bingwa kama kwenye ligi kuu ya nchini kwake kashindwa kuwa katika msimamo unaomfanya afuzu klabu bingwa. Bingwa wa shirikisho unafuzu moja kwa moja kucheza shirikisho labda uwe bingwa wa ligi kuu ndio utacheza klabu bingwa au kama taifa lenu lina vigezo vya kuingiza timu mbili klabu bingwa basi uwe nafasi ya pili kwenye ligi kuu. Mfano mzuri ni USM Alger alikuwa bingwa wa kombe la shirikisho lakini hakucheza klabu bingwa kacheza huko huko shirikisho.
Kama ndio hivyo soka la Afrika bado sana kukua kudadeki
 
Back
Top Bottom