Kwamba hizo zinaenda shirikisho? Kama ndivyo basi wabovu kwa wabovu....Wakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
- Simba SC
- Zamalek SC
- Wydad AC
- ASEC Mimosas
- RS Berkane
- AS Vita Club
- CS Sfaxien
- ZESCO United
- Etoile du Sahel
- Coton Sport de Garoua
- USM Alger
- Primeiro de Agosto
- Asante Kotoko
- Hearts of Oak
- Stade Malien
- Real Bamako
- Kaizer Chiefs
- Vipers SC
- Power Dynamos
😳😳😳😳😳😳😳Halafu kwenye champion kutakuwa kwepesi kinoma, kweli alikoroga yanga asipaache
kaizer aendi shirikisho, stellenbosch andYes kaka, au watasema tena shirikisho ni kugumu?😀😀
Timu zote izo zimebaki jina tu. Zamalek ashachoka uyo wydad kauza wachezaji wake tegemeo karibu wote ndio maana hata msimu huu ameyumba sana. Sema simba nae sasa hivi tia maji tia maji lakini kama angekua yanga anapiga hao wote bila shida kabisaWakuu, kuna orodha ya timu 19 zilizoshindwa kufuzu kushiriki michuano ya Klabu bingwa Afrika Msimu wa 2024/25 Orodha hii haijapangwa kwa kuzingatia ubora wa timu husika.
- Simba SC
- Zamalek SC
- Wydad AC
- ASEC Mimosas
- RS Berkane
- AS Vita Club
- CS Sfaxien
- ZESCO United
- Etoile du Sahel
- Coton Sport de Garoua
- USM Alger
- Primeiro de Agosto
- Asante Kotoko
- Hearts of Oak
- Stade Malien
- Real Bamako
- Kaizer Chiefs
- Vipers SC
- Power Dynamos
Kwa hiyo unataka kusema Yanga amefikia hiyo hatua kwa sababu ya kuroga siyo!!! Na Azam naye amefika kwa sababu gani?Halafu kwenye champion kutakuwa kwepesi kinoma, kweli alikoroga yanga asipaache
Tatizo mmekariri majina ya timu ila sio ubora wa timu, hizo zilizoshindwa kufuzu klabu bingwa ni timu zilizokuwa na majina makubwa yaliyoporomoka viwango Sasa inaenda kucheza dhidi ya timu zilizozifanya hizo timu ziporomoke. Yanga inaenda kucheza na wabora wa hao waliobaki na majina tu.Halafu kwenye champion kutakuwa kwepesi kinoma, kweli alikoroga yanga asipaache
Hawa hawa waliogongwa 7_2?Simba SC
Watu wamekalili ukubwa wa majina ya timu na nchi ukubwa kisoka wa nchi zinazotoka izo timu hawaangalii ubora. Sasa kama uyo asante kotoko hana nini cha kutishia amani.Tatizo mmekariri majina ya timu ila sio ubora wa timu, hizo zilizoshindwa kufuzu klabu bingwa ni timu zilizokuwa na majina makubwa yaliyoporomoka viwango Sasa inaenda kucheza dhidi ya timu zilizozifanya hizo timu ziporomoke. Yanga inaenda kucheza na wabora wa hao waliobaki na majina tu.
Inategemea ni timu ngapi zitakazoshiriki klabu bingwa msimu wa 2024/2025?Kwa maana hiyo Yanga itaanza round ya pili.
Round ya pili inategemea rank timu 10 kwenye rank ndio zinaanzia round ya pili. Hivyo kama 4 zitaenda shirikisho Yanga itaingia kwenye timu 10 za kuanzia round ya pili.Inategemea ni timu ngapi zitakazoshiriki klabu bingwa msimu wa 2024/2025?
CAF wanapotaka majina ya washiriki wa Mashindano Yao,hawaangalii ligi yenu imeisha au imeanza,mtajua nyinyi mumpeleke Nani,Misri mwaka Jana walipeleka alieongoza mzunguko wa kwanza,mwaka huu pia,..anaenda Pyramid anaongoza Hadi SasaHizi list mmezitoa wapi wakati kuna ligi bado hazijaisha?