Wababe 19 wa Afrika walioshindwa kukata tiketi ya kushiriki michuano ya CAFCL

Mnaichukulia sana poa yanga hata kwa mamelod sundowns mlisema atapigwa nyingi badala yake sundowns akapota kwa mbeleko. Zamalek achague uwanja wowote muda wowote kwa yanga anakalishwa mapema tu
 
Round ya pili inategemea rank timu 10 kwenye rank ndio zinaanzia round ya pili. Hivyo kama 4 zitaenda shirikisho Yanga itaingia kwenye timu 10 za kuanzia round ya pili.
Sio round ya pili ni round ya kwanza, Simba na Yanga zitaanzia round ya kwanza kwenye michuano watakayoshiriki, hawata anzia hatua za awali
 
kaizer aendi shirikisho, stellenbosch and
Sekhukhune United.

egpty ligi bado mbichi

hii list ya uongo,
Ligi ya Egypt itachelewa kuisha, yanachukuliwa matokeo ya last season ambayo yaliwabeba Al Ahaly, huu ni mwaka wa pili mfululizo wanatumia mfumo wa matokeo ya last season.
 
Kama ndio hivyo soka la Afrika bado sana kukua kudadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…