baba aura
JF-Expert Member
- Aug 5, 2023
- 254
- 393
Kuna wakati tusiwe tunadanganyana ilihali hali halisi tunaiona na kuihisi
Here we go.......
Kwa maneno tutawin ila kwa vitendo tutafail sana
SASA IPO HIVI.....
1.Kitendo cha Tp mazembe kushinda 1 bila hii inathibitisha mazembe wanatoboa hatua hii kwa uhakika kabsa
2.Al ahly wameweza kutoka safe ya 2-2 na simba kwenye simba la mkapa ambapo wanasimba wote wanasema kwa mkapa hatoki mtu ilihali al ahly ametoa sare na ni ngumu sana kutoboa Kule cairo
3. Mamelody hawa licha ya tambo nyingi za petro de Luanda kuliko za simba dhidi ya al ahly, mamelody wamemchapa mtu 2 kwa nunge na ni ngumu sana kutusua kwa petrol de Luanda
Najua wengi mtabisha kwa usemi mpira unadunda Mara oooh mpira dk tisini ila ukweli usemwe kamwe haiwezekani kufungwa al ahly,mamelody na tp mazembe.
Kama unamoni au pinga beti kwa hoja