Wababe wa AFL ni Hawa hapa

Wababe wa AFL ni Hawa hapa

baba aura

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2023
Posts
254
Reaction score
393
Kuna wakati tusiwe tunadanganyana ilihali hali halisi tunaiona na kuihisi

Here we go.......
Kwa maneno tutawin ila kwa vitendo tutafail sana

SASA IPO HIVI.....

1.Kitendo cha Tp mazembe kushinda 1 bila hii inathibitisha mazembe wanatoboa hatua hii kwa uhakika kabsa

2.Al ahly wameweza kutoka safe ya 2-2 na simba kwenye simba la mkapa ambapo wanasimba wote wanasema kwa mkapa hatoki mtu ilihali al ahly ametoa sare na ni ngumu sana kutoboa Kule cairo

3. Mamelody hawa licha ya tambo nyingi za petro de Luanda kuliko za simba dhidi ya al ahly, mamelody wamemchapa mtu 2 kwa nunge na ni ngumu sana kutusua kwa petrol de Luanda

Najua wengi mtabisha kwa usemi mpira unadunda Mara oooh mpira dk tisini ila ukweli usemwe kamwe haiwezekani kufungwa al ahly,mamelody na tp mazembe.

Kama unamoni au pinga beti kwa hoja
 
Mechi ya Esperance na TP Mazembe bado sana haijakwisha Kwa mpira uliochezwa jana. Lakini pia Esperance ni wazuri na naamini watampiga Mazembe kule Tunis. Naungana na wewe kwa mechi zilizobaki.
 
Nipo pamoja na wewe goal la mazembe halitoshi kuwatowa esperance, mechi inayofuata mazembe atashikilka bomba mwanzo mwisho
 
Mazembe safari yake imeishia hapo... Aombe saana mungu awe upande wake tu.
 
Kuna wakati tusiwe tunadanganyana ilihali hali halisi tunaiona na kuihisi

Here we go.......
Kwa maneno tutawin ila kwa vitendo tutafail sana

SASA IPO HIVI.....

1.Kitendo cha Tp mazembe kushinda 1 bila hii inathibitisha mazembe wanatoboa hatua hii kwa uhakika kabsa

2.Al ahly wameweza kutoka safe ya 2-2 na simba kwenye simba la mkapa ambapo wanasimba wote wanasema kwa mkapa hatoki mtu ilihali al ahly ametoa sare na ni ngumu sana kutoboa Kule cairo

3. Mamelody hawa licha ya tambo nyingi za petro de Luanda kuliko za simba dhidi ya al ahly, mamelody wamemchapa mtu 2 kwa nunge na ni ngumu sana kutusua kwa petrol de Luanda

Najua wengi mtabisha kwa usemi mpira unadunda Mara oooh mpira dk tisini ila ukweli usemwe kamwe haiwezekani kufungwa al ahly,mamelody na tp mazembe.

Kama unamoni au pinga beti kwa hoja
Al ahly, wydad na sundowms uhakika ila tp mazembe bado ana kazi kubwa sana ya kufanya iyo game 50/50.
 
Tatizo watu hawajaangalia Game alafu wanasema Tp mazembe hatoboi, kiufupi Kaangalien Marudio muone jinsi Mazembe Walivyobadilika na walivyo na Balaa,

Naiona Draw kule Tunisia na Tp mazembe anapita
 
Hakika utabiri unatimia

Simba out

Petro de Luanda out

So ni

Al ahly vs mamelody
 
Nipo pamoja na wewe goal la mazembe halitoshi kuwatowa esperance, mechi inayofuata mazembe atashikilka bomba mwanzo mwisho
Kwa wale tulioangalia game ya hapa dar tulijua mazembe hawezi kishikilia bomba dakika 90 , mechi ya dar walishinda kibahati tuu lakini sio mpira
 
Back
Top Bottom