Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Watawala wetu wamekwama kwenye mtego kwamba kuna wanyonyaji wema na wabaya. Kwa ivo wao kila mara hukubaliana na wanyonyaji wanaowaona kwa wakati huo kwamba ni wanyonyaji wazuri. Swali la kujiuliza jee iko siku na Afrika nao watakuwa ni wababe dhidi ya mabara mengine?Kugombewa hakuepukiki maana rasilimali zipo za kutosha ila tatizo watawala wetu hawatambui vipaumbele vya raia wao au kuweka mbele maslahi ya hili bara wanapokutana na hao waviziaji, ni vigumu mno kufahamu wanazungumza na kukubaliana nini na hao mabeberu.
Madeni yanayoonekana kutolipika na nchi za Afrika kwa uchina, siyo tishio wa Uhuru wa nchi nyingi za Afrika?? Jee uchina ni Mkombozi kivipi na kwa mfano amewekeza nini cha maana Afrika ambacho kinaweza kuwakomboa Waafrika!!?Mkombozi ni china tu hao wengine matapeli majambazi
Hoja nzuri. Je, ni nani wa kuikomboa Afrika Kifikra? Na fikra zipi ambao zinaifanya Afrika kuwa tegemezi kwa mabara mengine?Kush inahitaji ukombozi wa fikra
Elimu kwa vijana wa hili bara ndio suluhisho la ukombozi wa kifikra..........naamini kizazi kijacho cha hili bara kitaleta mabadiliko makubwa sana, sidhani kama watakubali kuwa watumwa wa kihistoria na kuendelea kuwa duni.Hoja nzuri. Jee ni nani wa kuikomboa Afrika Kifikra?? Na fikra zipi ambao zinaifanya Afrika kuwa tegemezi kwa mabara mengine??
Elimu yetu tulitegemea kuipata toka kwa wasomi wetu, jee vyuo vyetu vina elimu toka kwenye misingi ya uafrika wetu ama tumerithi masomo toka kwa hao hao wababe yasiyofanana na uhalisia wa bara letu?Elimu kwa vijana wa hili bara ndio suluhisho la ukombozi wa kifikra, naamini kizazi kijacho cha hili bara kitaleta mabadiliko makubwa sana, sidhani kama watakubali kuwa watumwa wa kihistoria na kuendelea kuwa duni.
Dunia kwa sasa ni China vs America
Ukitaka udhurumiwe chagua China
Ukitaka kufaidika chagua America
Tokea uhuru watu wapo na America, naona Africa sahivi ni dona kantreDunia kwa sasa ni China vs America
Ukitaka udhurumiwe chagua China
Ukitaka kufaidika chagua America
Usitujumlishe wote,,, sie wabongo hata tuambiwe tuandamane hakuna atakae tokea, sembuse kupigana..... Cc makamanda na kimambiNyonzo bin mvule ni kwa nini waafrika tunaambiwa na mmarekani tupigane halafu sisi tunakubali kupigana?? Kwani sisi waafrika hatuna akili ama uwezo wa kukataa kupigana? Yaani tusipopigana wenyewe kwa wenyewe mmarekani atafanya nini??
Dunia kwa sasa ni China vs America
Ukitaka udhurumiwe chagua China
Ukitaka kufaidika chagua America
China anatukomboa kutoka kwenye nini?. Tusikujikomboa wenyewe, hata aje nani maisha ya watu wetu yatakuwa hivi hivi.Mkombozi ni china tu hao wengine matapeli majambazi
Katika washirika muhimu wa Marekani barani Afrika nchi yako ni miongoni mwao hiyo faida mbona hatuja wahi kuiona?Dunia kwa sasa ni China vs America
Ukitaka udhurumiwe chagua China
Ukitaka kufaidika chagua America
Chuki yako ya dini imekujaa kichwaniKatika washirika muhimu wa Marekani barani Afrika nchi yako ni miongoni mwao hiyo faida mbona hatuja wahi kuiona?
Kwa nini unaleta hoja za kivichekesho kwenye mambo muhimu yanayohitaji fikra jadidi? Hivi unadhani kama suala la zile harakati za Lindi zisingedhibitiwa leo hali ingekuwaje?Usitujumlishe wote,,, sie wabongo hata tuambiwe tuandamane hakuna atakae tokea, sembuse kupigana..... Cc makamanda na kimambi