Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
- Thread starter
-
- #21
Kabisa!Tulikua tunawalaumu mababu zetu enzi za utumwa ila kumbe na sie ni wale wale. Akili ndogo tumejaliwa waafrika daah
Tamaa za wanasisa na uoga,, na hiyo sio tu Africa, hata kule ulaya huoni alivyowashika masikio wanachama wenzie wa NATO pale Ukraine anawalazimisha wapeleke vifaru wakati yeye mpaka leo hajapeleka na ukizingatia Ukraine si mwanachama wa NATO, lkn wanalazimishwa kwa nguvu ya mmarekani,, mfaransa kamshutikia kwa sasa ni kama anamkataa,,, hata waarabu nao wameshaamka wamechoka kuchonganishwa na huyo mmarekani, na ndio maana kwa sasa nchi kama Syria na saudi Arabia wamesaini peace halikadhalika saudia na Yemen vile vile,,, na muda wetu na sisi waafrika kuacha kupigana kisa tu mmarekani,, kila lenye mwanzo lina mwisho na mwisho wake unakaribia,,Nyonzo bin mvule ni kwa nini waafrika tunaambiwa na mmarekani tupigane halafu sisi tunakubali kupigana?? Kwani sisi waafrika hatuna akili ama uwezo wa kukataa kupigana? Yaani tusipopigana wenyewe kwa wenyewe mmarekani atafanya nini??
Mm nimeuliza swali ww unaleta mambo ya dini?Chuki yako ya dini imekujaa kichwani
Unajibiwa kutokana na ulivyoulizaMm nimeuliza swali ww unaleta mambo ya dini?
Kwenye swali langu kuna sehemu yeyote niliyo uliza kuhusu dini?Unajibiwa kutokana na ulivyouliza
Kuna mazingira flani yaani hutaki utapigana,unataka utapigana.Nyonzo bin mvule ni kwa nini waafrika tunaambiwa na mmarekani tupigane halafu sisi tunakubali kupigana?? Kwani sisi waafrika hatuna akili ama uwezo wa kukataa kupigana? Yaani tusipopigana wenyewe kwa wenyewe mmarekani atafanya nini??
Hata wananchi hawajitambui.Kugombewa hakuepukiki maana rasilimali zipo za kutosha ila tatizo watawala wetu hawatambui vipaumbele vya raia wao au kuweka mbele maslahi ya hili bara wanapokutana na hao waviziaji, ni vigumu mno kufahamu wanazungumza na kukubaliana nini na hao mabeberu.
America ina pesa za mapepo, iache mara moja.Dunia kwa sasa ni China vs America
Ukitaka udhurumiwe chagua China
Ukitaka kufaidika chagua America
Aisee!!America ina pesa za mapepo, iache mara moja.