Wabangaizaji wa CHADEMA watembeza Bakuli la "Saidia Lissu ashinde". Kumbe Umasikini ni hatari!

Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni 🐼
Umewahi endesha kikao mkuu kilicho na wajumbe wanaotoka mbali kinachohitaji mjumbe kulipwa transiport go and return, ontransit,night allowance, sitting allowance, conference package(wastani ni 45,000-60,000) kwa kichwa kulingana na hoteli),mafuta ya magari, supporting staffs/secretariet, miscn. Usichukulie poa watu 1,200
 
Sasa kama hana hela anafanya vya nini.

Kuna mtu hamjui?

Utachanga mambo mangapi.

Gari, Nyumba, Chakula ubelgiji, vikao, press, castle lite...

Gari lenyewe bado hajamaliza kuchangisha anataka nyingine tena..

Mkiambiwa Siasa ni pesa na ni ghali muwe mnaelewa....
 
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni 🐼
Bajeti ya serikali Yako , kila mwaka asilimia 40% ni bakuli la ombaomba kwa mabeberu ,unashangaa taasisi? Unashangaa chama Cha siasa, unashangaa kambi ya kampeni??

Kweli siku hizi Kuna MAPUMBAVU mengi sana akiwemo mtoa Uzi ,Bado kuvua nguo tu🤔🤔🤔😅🤣😅🤣🚴🚴
 
Moderator wanampa airtime sana ndio maana yuko huru kuandika upuuzi wa kila aina
 
Sasa kama hana hela anafanya vya nini.

Kuna mtu hamjui?

Utachanga mambo mangapi.

Gari, Nyumba, Chakula ubelgiji, vikao, press, castle lite...

Gari lenyewe bado hajamaliza kuchangisha anataka nyingine tena..

Mkiambiwa Siasa ni pesa na ni ghali muwe mnaelewa....
Halafu wanamdharau mbowe aliyekuwa anawasaidia
Wapuuzi kweli hawa
 
Sasa kama hana hela anafanya vya nini.

Kuna mtu hamjui?

Utachanga mambo mangapi.

Gari, Nyumba, Chakula ubelgiji, vikao, press, castle lite...

Gari lenyewe bado hajamaliza kuchangisha anataka nyingine tena..

Mkiambiwa Siasa ni pesa na ni ghali muwe mnaelewa....
Samia anazo ngapi kama siyo za TRA?
 
Back
Top Bottom