Wabangaizaji wa CHADEMA watembeza Bakuli la "Saidia Lissu ashinde". Kumbe Umasikini ni hatari!

Wabangaizaji wa CHADEMA watembeza Bakuli la "Saidia Lissu ashinde". Kumbe Umasikini ni hatari!

Yaani hadi Mwanaharakati huru Cyprian Musiba ametamka wazi kwamba Lissu hawezi kushinda na ameomba jeshi liende kulinda siku ya uchaguzi maana wafuasi wa Lissu wataleta vurugu baada ya kushindwa.
 
Sasa kama hana hela anafanya vya nini.

Kuna mtu hamjui?

Utachanga mambo mangapi.

Gari, Nyumba, Chakula ubelgiji, vikao, press, castle lite...

Gari lenyewe bado hajamaliza kuchangisha anataka nyingine tena..

Mkiambiwa Siasa ni pesa na ni ghali muwe mnaelewa....
Ccm yenyewe inachangisha hadi leo
 
Team Lisu wanachangisha pesa kufanya kampeni, Shughuli za chama zinapokwama Mbowe anatafuata pesa anakopesha Chama ili kiendelee kuwa live na shughuli zisisimame, chama kinapopata kinalipa kwa liba nafuu, Lakini Team Lisu wanasema Mbowe anafanya biashara.

Hivi chadema ingekuwa inakopa Bank kwa liba za Bank mgesemaje, ana hisa na Bank zinazoikopesha chadema?

Tizama leo chama kina fanya mikutano, huku Team Lisu hawataki tufahamu kwamba Maria Space kaweka bango X anaomba pesa kusaidia harakati za Lisu.

Hilo ni jambo la kawaida na ni uuungwana kuomba unapokuwa huna,siyo jambo la aibu kama wanavyotaka lionekane.
Lakini mjifunze kuelewa, Mbowe kwa kukikopesha chama anakifanya kiwe live, kuliko kukaa kama vyama vingi ambavyo havisikiki na havifanyi siasa bali vinapongeza ushindi wa ccm kila kukicha.

Mjivunie hili la kutembeza bakuli, na huu ni mwanzo tu, kwasababu akishinda mabakuli yatakuwa mengi sana.
 
Mbowe akiamua kuchukua mali zake zote cdm inaenda mochwari jumla.
Na wakifanya makosa tu kumchagua lisu ndo mwisho wa cdm.
Watu wanapiga domo tu hawajui kuendesha chama ni pesa
Ukombozi wa kiuchumi wa chadema ni mbowe kukaa pembeni kama mwenyekiti, miaka 20+ imetosha
 
Upuuzi kwa nani?Ili upinge upuuzi pinga upuuzi wa aina zote. Umechagua upande hivyo kuwa mvumilivu wa kusikiliza upande usioutaka.Ndiyo demokrasia.
Au unataka udikteta wako ndio uwe ukweli?Unaweza kutokubaliana na mtu lakini ni lazima uunge mkono uhuru wake wa kujieleza.Mpinge kwa hoja na kudai ushahidi sio kumfunga mdomo.
Nimesema upuuzi wa kila aina.. Je hukuelewa hapo?
 
Sasa kama hana hela anafanya vya nini.

Kuna mtu hamjui?

Utachanga mambo mangapi.

Gari, Nyumba, Chakula ubelgiji, vikao, press, castle lite...

Gari lenyewe bado hajamaliza kuchangisha anataka nyingine tena..

Mkiambiwa Siasa ni pesa na ni ghali muwe mnaelewa....
Kumbe wakili ni mdau wa castle lite??
 
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni 🐼
hizo ARV unazobugia kama karanga ni bakuri kutoka kwa watu wa marekani ukiacha chandarua ambazo mpaka unavulia samaki CCM ni mshauri mkuu wa shetani
 
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni 🐼
kama serikali yako ya mambuzi inachimbiwa vyoo vya shule na wakorea na inakusanya kodi zaidi ya miaka 60 unaishangaa chadema taasisi kuchangishana ina maana akili yako ipo matyakoni kwa vyovyote
 
Nimesema upuuzi wa kila aina.. Je hukuelewa hapo?
Kiswahili kinakupa shida. Upuuzi kwa watu wote sio yeye tu.Huwa unaandika upuuzi unavumiliwa hivyo wavumilie wengine wakiandika upuuzi wao.
 
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni 🐼
Ndio maana Lissu anataka uenyekiti, haiwezekani pesa za chama ashikilie Mbowe, huku ni kukishika chama mateka
 
Back
Top Bottom