Wabangaizaji wa CHADEMA watembeza Bakuli la "Saidia Lissu ashinde". Kumbe Umasikini ni hatari!

Wabangaizaji wa CHADEMA watembeza Bakuli la "Saidia Lissu ashinde". Kumbe Umasikini ni hatari!

Bajeti ya serikali Yako , kila mwaka asilimia 40% ni bakuli la ombaomba kwa mabeberu ,unashangaa taasisi? Unashangaa chama Cha siasa, unashangaa kambi ya kampeni??

Kweli siku hizi Kuna MAPUMBAVU mengi sana akiwemo mtoa Uzi ,Bado kuvua nguo tu🤔🤔🤔😅🤣😅🤣🚴🚴
Mbona amechelewa, kikao hiki sio dharura.
 
Moderator wanampa airtime sana ndio maana yuko huru kuandika upuuzi wa kila aina
Upuuzi kwa nani?Ili upinge upuuzi pinga upuuzi wa aina zote. Umechagua upande hivyo kuwa mvumilivu wa kusikiliza upande usioutaka.Ndiyo demokrasia.
Au unataka udikteta wako ndio uwe ukweli?Unaweza kutokubaliana na mtu lakini ni lazima uunge mkono uhuru wake wa kujieleza.Mpinge kwa hoja na kudai ushahidi sio kumfunga mdomo.
 
Mbowe akiamua kuchukua mali zake zote cdm inaenda mochwari jumla.
Na wakifanya makosa tu kumchagua lisu ndo mwisho wa cdm.
Watu wanapiga domo tu hawajui kuendesha chama ni pesa
Mbowe alikuwa anafanya biashara kila hela aliyoikopesha Chadema amesharudishiwa. Hadai hata senti moja.
 
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni 🐼
Sio Kila chama kina uwezo wa kuchota kwenye hazina ya Taifa, unakumbuka Yale magari (V8)yaliyo pakwa rangi ya kijani wakati wa hayati.
 
Sasa kama hana hela anafanya vya nini.

Kuna mtu hamjui?

Utachanga mambo mangapi.

Gari, Nyumba, Chakula ubelgiji, vikao, press, castle lite...

Gari lenyewe bado hajamaliza kuchangisha anataka nyingine tena..

Mkiambiwa Siasa ni pesa na ni ghali muwe mnaelewa....
Au tumuite Matonya? Ahahahahaha!!
 
Vikao vimeanza jana, CDM washamaliza maandalizi yote ya awali pamoja na gharama za uchaguzi.

Hao wengine ni kuona aibu tu baada ya kuona wenzao walivyojitoa shughuli ifanyike.

Unakumbuka kujifunika shuka, wakati kushakucha. Unadhani wangekuwa wanategemea hela za Lissu huu uchaguzi ungefanyika. Kuna watu wana akili zao timamu huko CDM sio kama ropo-ropo.
 
Mbowe akiamua kuchukua mali zake zote cdm inaenda mochwari jumla.
Na wakifanya makosa tu kumchagua lisu ndo mwisho wa cdm.
Watu wanapiga domo tu hawajui kuendesha chama ni pesa
Kabisa
Wabongo so unawajua Kwa unafiki
 
Back
Top Bottom