Wabangaizaji wa CHADEMA watembeza Bakuli la "Saidia Lissu ashinde". Kumbe Umasikini ni hatari!

Kiswahili kinakupa shida. Upuuzi kwa watu wote sio yeye tu.Huwa unaandika upuuzi unavumiliwa hivyo wavumilie wengine wakiandika upuuzi wao.
Nikiandika upuuzi nisivumiliwe.. Ukiona unavumilika basi huo sio upuuzi.. By the way weka mfano walau mmoja wa upuuzi niliowahi kuandika hapa kuthibitisha tuhuma zako
 
Nikiandika upuuzi nisivumiliwe.. Ukiona unavumilika basi huo sio upuuzi.. By the way weka mfano walau mmoja wa upuuzi niliowahi kuandika hapa kuthibitisha tuhuma zako
Kama ulivumiliwa kwenye ubaguzi wa kikabila, watashindwaje kukuvumilia kwenye upuuzi?
 
Reactions: Tui
Ni zaidi ya 60% bakuli
 
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni ๐Ÿผ
Kumbuka wapiga kura wengi ni maskini.
Anyway ngoja maskini tumpigie maskini mwenzetu na nyie matajiri pigianeni kura.
Kila kundi limpigie mwenzao
 
Moderator this is too much mkiendelea kumwachia huyu kuendelea kuandika upuuzi wake wa kila aina JF yetu itatazamwa kwa jicho lingine
Vumilia tu kamanda acha makasiriko ndio mambo ya uhuru wa kujieleza mnaopigia kelele chama chenu, si kama Maria tu anaciwavuruga watu na nyinyi huwa mnashangiria. Kuwa mpole โ€ฆ. John John๐Ÿ”จ๐Ÿ”จ๐Ÿ”จ๐Ÿ”จ๐Ÿ› ๏ธ
 
Reactions: Tui
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni ๐Ÿผ
Oi mbatizI we ni nouma piga izi mbofumbofu๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ› ๏ธ๐Ÿ› ๏ธ
 
Reactions: Tui
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni ๐Ÿผ
chama ni wanachama ni ushirika, ni kuileta mioyo ya watu pamoja, changizo huleta hali ya upamoja, na umoja ni nguvu
 
Sasa Kauchaguzi ka Wajumbe 1200 mnachangishana fedha za nini?

Tangazo liko Kwa Mbangaizaji Maria kule X

Ahsanteni ๐Ÿผ
Hivi unajua hizi ARV unazotumia zinazokupa jeuri ya kutukana watu humu ni msaada toka Marekani,vinginevyo tungekwisha kukufukia siku nyingi.
 
We Kumbe ni bonge la boya sana!!!๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Mbona kipindi Cha korona vikao Hadi UN vilifanyika via video conferencing,

Sasa ikiwa uwezo hawana watumie njia hiyo, uchaguzi unakuwa live wote wanaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ