Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Hawajui hapa wabeba boksi wenzao wengi hawana ajira kwa sababu ya Magu
Ni ajira ipi ulitaka upewe iamani?

Hao ambao hawajaajiriwa wanaishije?

Huko nyuma wakati wa ujima mababu na mabibi zetu waliishije bila ajira?

Acheni kujiendekeza inamaana uajiliwe tu hata sehemu ambayo imejaa?
 
Wakuitwa Ngu....

Watu wako kazini!
 
Naona paka kaondoka sasa mapanya mnaingia kwa vigeregere,
Ok siyo mbaya maana kila masika na mbu wake.
Mtoto wa kufikia utasema nini kipya hapa Jukwaani.

Tunajua we kwenu kumuita mzazi wako PAKA ni cheo na heshma kubwa lkn hapa Tanzania hio ni kashfa.

Rudi kongo kabla hujakamatwa.
 
Reactions: Izz
Nimeibuka upya wapi? Nyie mnatakiwa kushukuru sana mlikuwa na hali mbaya huko kwenu ajira ni kubet tu na kunywa mapuya, unajisifia kwa njaa Mama anakuja kuwasaidia.
 
Mtoto wa kufikia utasema nini kipya hapa Jukwaani.
Tunajua we kwenu kumuita mzazi wako PAKA ni cheo na heshma kubwa lkn hapa Tz hio ni kashfa.
Rudi kongo kabla hujakamatwa.
Ni muda wenu kustawi tena baada ya miaka 6 ya kunyauka kama maua ya jangwani
 
Amin Amin Yaa Rabb l Aalamin.
Tulikuwa ktk nyiradi mbali mbali lkn tumeona wanakondoo badala ya kula majani wameanza kula chapati. Inabidi wachungaji turudi darasani kutoa misaada ya neno la bwana.
 
hivi diaspora mkisemaga mnabeba box manake nn i mean ni kaz gani mana huwa napata picha like magari yanaleta vitu madukani af mnabeba box ile chini ya shingo karibu na mgongo japo fikra yangu naamini si sahihi naomba kueleweshwa mkuu
 
Ni muda wenu kustawi tena baada ya miaka 6 ya kunyauka kama maua ya jangwani
Hilo jangwa la wapi lenye maua bi mkubwa? Au tayari saa sita kasoro ?
Kiroba na jua hili la masika unaweza kwenda imba taarabu kanisani ukaachiwa razi na Gwajima.
Shauri yako.
 
Reactions: Izz
hivi diaspora mkisemaga mnabeba box manake nn i mean ni kaz gani mana huwa napata picha like magari yanaleta vitu madukani af mnabeba box ile chini ya shingo karibu na mgongo japo fikra yangu naamini si sahihi naomba kueleweshwa mkuu
Huyu bi Nyani Ngabu asikudanganye anabeba box.
Mikono laini ka bandama abebe box lipi?
Sisi wasukuma ndio wachapa kazi.
Huyu mdigo kazi yake anaijua mwenyewe. Nisije kupata dhambi mwezi mtukufu huu.
 
sasa mkuu hilo box mnabebaje huko yani mnakaa madukani kubeba mabox au
 
Walikuwa wanaskiza data za kupikwa ndio maana wanamlilia ,sasa wajiandae kumlilia zaidi wakijua ukweli
 
Hilo jangwa la wapi lenye maua bi mkubwa? Au tayari saa sita kasoro ?
Kiroba na jua hili la masika unaweza kwenda imba taarabu kanisani ukaachiwa razi na Gwajima.
Shauri yako.
Tulia basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…