nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,439
- 861
Wewe watu wote ikiwemo ndugu zako hufika kwenye misibWanafiki, mbona hawakuja chato kwenye mazishi.
Wewe huwa unahudhuria misiba yote?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe watu wote ikiwemo ndugu zako hufika kwenye misibWanafiki, mbona hawakuja chato kwenye mazishi.
Ni ajira ipi ulitaka upewe iamani?Hawajui hapa wabeba boksi wenzao wengi hawana ajira kwa sababu ya Magu
Mkuu wewe si miezi kadhaa nyuma ulituaminisha umepewa life ban ya hii ID. Kwenye uzi flani wa W. Africa. Alafu last year na ile ID kuna sehemu uliniquote ukasema somebody atang'ata shuka baada ya kundi fulani kuruhusu. Kuna kubeba box kweli hapa[emoji848]
Mtoto wa kufikia utasema nini kipya hapa Jukwaani.Naona paka kaondoka sasa mapanya mnaingia kwa vigeregere,
Ok siyo mbaya maana kila masika na mbu wake.
Mara ghafla sauti unatolea puani.Hovyooooo
😂 😂 😂Walimlilia Magufuli hivi walikuwa wanamfahamu huyu babu hawa?? yaani walitoa machozi yao kumlilia kabisaaaa??
Ni muda wenu kustawi tena baada ya miaka 6 ya kunyauka kama maua ya jangwaniMtoto wa kufikia utasema nini kipya hapa Jukwaani.
Tunajua we kwenu kumuita mzazi wako PAKA ni cheo na heshma kubwa lkn hapa Tz hio ni kashfa.
Rudi kongo kabla hujakamatwa.
Huyu meno yote ya mbele yameishatoka kwa ugoro.Mara ghafla sauti unatolea puani.
Ahhh waimba taarabu hatari sana.
Teh teh teh.
Amin Amin Yaa Rabb l Aalamin.
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa.
Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima.
Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wabeba maboksi wote wa Kitanzania duniani kote.
Machi 26 tuliweka chini maboksi kuungana na Watanzania wenzetu kumzika aliyekuwa Rais wetu.
Heri Ya Mwaka Mpya 2021 Mkuu.Kwa kumuenzi wakawekeze Chato.
Hilo jangwa la wapi lenye maua bi mkubwa? Au tayari saa sita kasoro ?Ni muda wenu kustawi tena baada ya miaka 6 ya kunyauka kama maua ya jangwani
Huyu bi Nyani Ngabu asikudanganye anabeba box.hivi diaspora mkisemaga mnabeba box manake nn i mean ni kaz gani mana huwa napata picha like magari yanaleta vitu madukani af mnabeba box ile chini ya shingo karibu na mgongo japo fikra yangu naamini si sahihi naomba kueleweshwa mkuu
sasa mkuu hilo box mnabebaje huko yani mnakaa madukani kubeba mabox auHuyu bi Nyani Ngabu asikudanganye anabeba box.
Mikono laini ka bandama abebe box lipi?
Sisi wasukuma ndio wachapa kazi.
Huyu mdigo kazi yake anaijua mwenyewe. Nisije kupata dhambi mwezi mtukufu huu.
Tulia basiHilo jangwa la wapi lenye maua bi mkubwa? Au tayari saa sita kasoro ?
Kiroba na jua hili la masika unaweza kwenda imba taarabu kanisani ukaachiwa razi na Gwajima.
Shauri yako.