Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Wabeba maboksi wa Denmark wamlilia Rais Magufuli

Unaniita dogo mimi daah ebu kaa chini na Bi mkuwa wako muulize vizuri Ritz ni nani yangu.
Ahahahahaaaaa mkuu habari za siku? nadhani hao vijana hawakujui kama wewe ni kikongwe,
Mshitue na malaria sugu basi kwa sasa mko huru
 
Ahahahahaaaaa mkuu habari za siku? nadhani hao vijana hawakujui kama wewe ni kikongwe,
Mshitue na malaria sugu basi kwa sasa mko huru
Kwani walifungwa hata useme kwa sasa wako HURU?
 
Wamekosa kazi za kufanya yaani umlilie ibilisi?
Screenshot_20210327-201144.png
 
Unaniita dogo mimi daah ebu kaa chini na Bi mkuwa wako muulize vizuri Ritz ni nani yangu.
Maulana Ritz umanipa faraja kubwa sana kukuona hapa Jamvini.
Watoto wa mzazi mmoja wanakuja mbio kufurahia ujio wetu.
Wasameh bure. Hawakuwahi kupata malezi ya baba.

Allah akuongeze umri Ustadh wangu.
 
  • Thanks
Reactions: Izz
Braza Ritz siamin sasa hivi huko active jamvini na Bibie FaizaFoxy naye karudi kahtaan haonekani.

Let's just wait aftwe 100 days

Wachaga na wagalatia tumekwisha.
Mkuu wewe si miezi kadhaa nyuma ulituaminisha umepewa life ban ya hii ID. Kwenye uzi flani wa W. Africa. Alafu last year na ile ID kuna sehemu uliniquote ukasema somebody atang'ata shuka baada ya kundi fulani kuruhusu. Kuna kubeba box kweli hapa[emoji848]
 
Hawa ndugu zetu wa huko Denmark, yaani wabeba maboksi wa huko, siku ya mazishi ya hayati Rais Magufuli, waliacha kufanya kila kitu na kufuatilia kwa umakini sana shughuli za mazishi za mpendwa.

Nyuso zao ni za simanzi kubwa. Hakika kifo cha Magufuli kimewagusa watu dunia nzima.

Na hivi ndivyo ilivyokuwa kwa wabeba maboksi wote wa Kitanzania duniani kote.

Machi 26 tuliweka chini maboksi kuungana na Watanzania wenzetu kumzika aliyekuwa Rais wetu.

Naam, MJ, Mwenyekiti Wetu wa Wabeba Maboksi GA.
 
Hata hapa TZ ilikuwa hivi
 
Naam, MJ, Mwenyekiti Wetu wa Wabeba Maboksi GA.
Who? You got me confused with somebody else.

Nevertheless, put respect on my title.

Mimi ni Rais. Rais wa Wabeba Maboksi.

NB: Kabula kakusubiri hadi kachoka. Your ass never showed up.
 
Back
Top Bottom