Troll JF
JF-Expert Member
- Feb 6, 2015
- 7,804
- 12,237
Nimemuona Copenhagen DN mbeba box maarufu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Teh teh teh!Huyu meno yote ya mbele yameishatoka kwa ugoro.
Amin ya rabbi I alaamin!
Hilo jangwa la wapi lenye maua bi mkubwa? Au tayari saa sita kasoro ?
Kiroba na jua hili la masika unaweza kwenda imba taarabu kanisani ukaachiwa razi na Gwajima.
Shauri yako.
Maalim ulamaa alhabib Dr kahtaan, nakuona unampa mtu jiti la ROHONIHuyu bi Nyani Ngabu asikudanganye anabeba box.
Mikono laini ka bandama abebe box lipi?
Sisi wasukuma ndio wachapa kazi.
Huyu mdigo kazi yake anaijua mwenyewe. Nisije kupata dhambi mwezi mtukufu huu.
Mkuu naona ni zamu yenu kufaidi Hongereni. Sisi wagalatia tunawwangalia tu.
Mkuu huyu bwana JOESKY nimiongoni mwa watu wa JK, jiwe alivo ingia madalakani aliwazibia ugari wa magendo ndo maana anamchukia jiwe, fuatilia thread zake ndo utaelewa nacho kisemaRoho mbaya ni sumu kwako mwenyewe.Unajikomoa mwenyewe,unaemsema vibaya hayupo tena katika dunia hii,pambana na hali yako mkuu.
Amin Amin Yaa Rabb l Aalamin.
Tulikuwa ktk nyiradi mbali mbali lkn tumeona wanakondoo badala ya kula majani wameanza kula chapati. Inabidi wachungaji turudi darasani kutoa misaada ya neno la bwana.
Acha majungu ya kike bibie.Hao wabeba Maboksi hawajui kuwa tumepigwa sana na huyo wanaemlilia
Shangazi nakuuliza magufuli amekukosea nini bata mchanga km wewe?Walimlilia Magufuli hivi walikuwa wanamfahamu huyu babu hawa? yaani walitoa machozi yao kumlilia kabisaaaa??
Halafu ukimuuliza kipi kilisababisha kumchukia hana jibu.Roho mbaya ni sumu kwako mwenyewe.Unajikomoa mwenyewe,unaemsema vibaya hayupo tena katika dunia hii,pambana na hali yako mkuu.
Mnama Umerudi Mkuu karibu sana....Kwa kumuenzi wakawekeze Chato.
Ndio huyo umempata. Anakuja na thread za kitoto sometimes watu tunaamini wanabeba boksi. Boksi la kujua flani anadondoka lini miezi kadhaa kablaWakuitwa Ngu....
Watu wako kazini!
Sawa, Rais MJ-NN, aka Baba Kabula.Who? You got me confused with somebody else.
Nevertheless, put respect on my title.
Mimi ni Rais. Rais wa Wabeba Maboksi.
NB: Kabula kakusubiri hadi kachoka. Your ass never showed up.
Hakuna kuchagua.sasa mkuu hilo box mnabebaje huko yani mnakaa madukani kubeba mabox au
Teh teh teh.Amin ya rabbi I alaamin!
Naam tumerejea kutoa darsa, maana vijana wanazidi kupotea kwa kula ugoro na kunywa Mapuya!
Teh teh teh!