Mods piga ban kwa hili huni kada la ccm
Magufuli 2020Simpi kura yangu ng'oooooooooooo kura yangu mwaka huu inaenda upinzani
Ikitokea zoezi la sensa kwa "diaspora" wa Bongo waishio ughaibuni utashangaa mno. Ukiondoa wale waliopo ktk ofisi za ubalozi, wengi wao wanaoshi maisha ya kihasara sana kwa kulinganishwa na "indigenous people'. Wapo radhi kuishi maisha duni kwa kificho ili kuonekana kuwa wapo nje, lkn kwa ni watu duni sana huko waliko.
Hata kama wanaishi maisha duni [sijui maisha duni kwako ni yepi?], ni maisha yao.Ikitokea zoezi la sensa kwa "diaspora" wa Bongo waishio ughaibuni utashangaa mno. Ukiondoa wale waliopo ktk ofisi za ubalozi, wengi wao wanaoshi maisha ya kihasara sana kwa kulinganishwa na "indigenous people'. Wapo radhi kuishi maisha duni kwa kificho ili kuonekana kuwa wapo nje, lkn kwa ni watu duni sana huko waliko.
Mwendokasi kaaribu kabisa tena kwa kiburi tu,kwa swala la mwendokasi ni kinyaa kabisa.Waambie serikali ya awamu ya tano imeharibu kabisa mradi wa mwendokasi. Waambie huku Tanzania mradi kama mradi uliondoka na JK sasaivi kilichobaki ni uchafu mtupu na takataka tu.
Waambie huku kupanda mwendokasi ni kama kukubali kwenda kazini au shule ukiwa mchafu. Mradi haueleweki, mabasi mengi yako hovyo na mabovu, hayafanyiwi maintanance kwa wakati na muda wowote mnaweza kuambiwa hakuna mabasi.
Kikubwa waambie waje siku Tanzania waone jinsi serikali ya awamu ya Tano ilivyoharibu hii mradi. Zaidi waambie kama wanamtaka Magufuli waje wamchukue na ukilaza wao wa CCM kwa sababu sie hatumtaki tenaaa!!
90% ya wabeba maboksi wana maisha magumu sana.. Akiwemo huyu mleta thread..Huyo demu diaspora Inaonyesha anamaisha magumu Sana na anatamani arudi bongo
Kama hao wabeba boksi wanataka uraia pacha basi waache kumsapoti Magufuli, waunge mkono Lissu au Membe. Hao ndo wanapigia chapuo uraia pacha!
Wafanyakazi wa ubalozi wetu hapo Netherland wanabeba boksi tena, mmmmmh
Hawa watoto wa juzi shida sana. Hawakuona mabasi ya Ikarus? Wao wanajua vi Hiace na Coaster tu.
Ikarus kumbakumba 🤣Hawa watoto wa juzi shida sana. Hawakuona mabasi ya Ikarus? Wao wanajua vi Hiace na Coaster tu.
Amandla...