Uchaguzi 2020 Wabeba maboksi wawaasa Watanzania wamchague tena Rais Magufuli

Nyie na kina nani?
Yani kundi dogo hapo chadema ndio unataka kufanya ni tz nzima?
 
Serikali ya Magufuli inatakiwa ipigiwe kampeni kwa hoja zenye mashiko na kiakili pia.
Mabasi ya ulaya yana uhusiano gani na Magufuli?
Huu ujinga ujinga hauwezi kujenga taifa lenye watu makini.
Kuna hoja nyingi za kuwajenga watanzania kwa yaliyofanywa na awamu ya tano.
 
Kwani Da Mange yeye anasemaje?
 
Huyo kada wa ccm na huyo mkongoman ndo wanatuasa tumchague jiwe?? Au kuna wengne hawajaonekana kwenye video?? Wapeleke ujinga mbali na sisi
 
Bila shaka hawa wawili sio wawakilishi ama wasemaji wa wabeba box wote wa Denmark
 
Dar es Salaam, Tanzania
2020 Documentary usafiri wa Mwendokasi DSM

Hali halisi na maoni ya abiria wanaotumia usafiri wa mfumo wa mwendokasi BRT

Ripoti hii inazingatia adha halisi na changamoto za usafiri wa umma unaotumia mabasi ya mradi wa BRT Tanzania jijini Dar es Salaam.
Source : ITV Tanzania
 
Najua ni uhuru wa kuongea ila huyu dada na kukaaa ulaya kote akili kibuyu sana, hata hajui kua mradi wa DART ni chini ya awamu ipi, afterall anadhani hiyo tu ni sababu ya kuwashawishi watu wachague chama flani?
Wewe ushafika Ulaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…