Uchaguzi 2020 Wabeba maboksi wawaasa Watanzania wamchague tena Rais Magufuli

Kwani Da Mange yeye anasemaje?

Hivi Da Mange yupo kweli? Siku hizi kimya sana.

Ila namwonea huruma maana hatokanyaga ardhi ya Tanzania kwa muda mrefu sana.

Sifa za Instagram zimemponza.
 
Hakuna cha mkongomani hapo....huyo ni msukuma....dereva wa school bus....dadisi vizuri.
Teh teh teh dereva wa school bus Atlanta.. Mama bongo anakalia sofa alizoacha marehemu mzee tangia miaka ya 90 ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Nafikiri uwepo muda wa kuwapa priority wanafuzi. Masaa mawili/matatu kwa siku hasa wakati shule zinapofungwa na saa 1 na nusu na kabla ya shule kufunguliwa. Vile vile mabasi yawepo mengi, pawe na competition kwa kuwa na mashirika yanayotoa hii huduma.
 
Awaachie walio Bongo wataamua. Rais hachaguliwi kwa ajili ya mabasi ya mwendo kasi... Kama Bongo kumenoga si huyo binti arudi aunge juhudi.
 
Huyu Dada kachanganya mambo anavyosikia wajumbe wamo kazini yeye anadhani kai ya ujumbe ni kujambajamba kama anakofanya yeye hapo jukwaani
 

Hapo naona umetoa mapendekezo kama mzalendo hasa kwa kutotaka kufunika changamoto zinazoonekana waziwazi na hata wana diaspora waache kudanganya ile tu waalikwe na Polepole ktk mikutano ya CCM Mpya Dodoma kama wawakilishi wa Jumuiya ya CCM ya Diaspora.
 
Ulaya njaa usituingize huko sisi wa US!
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Labda wewe.

Sisi wengine ni maskini wenye maisha magumu sana ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Unasupport kuwa huu mradi umeanzishwa na jiwe?
Alafu nakuheshimu kweli ila
Kama mimi mla vumbi bhasi we mla ugoro wa kizungu.
Magufuli 2020 ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ
 
Waambie waje tujenge nchi yetu kwa manufaa ya wajukuu zao ili nao wafurahie matunda ya babu zao na Tanzania iwe sehemu ya kuvutia na sio kukaa huko kulikojengwa na mababu wa wenzao..

Waambie Ulaya na America zilijengwa na watu na sasa wajukuu wanatakiwa wafaidi bila bughudha waje huku nao walijenge Taifa lao..
 
Wewe ni mla vumbi?
 
Magufuli 2020 ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ๐Ÿ’ช๐Ÿฟ
Sijakataa hiyo Magu 2020, ila kwenye ukweli mseme ukweli na ndiomana JK alipoelezea mpango wa maendeleo wa 1994 ili kufikia uchumi wa kati 2025 alipouelezea tangia ulipoasisiwa (kuanza kusimamiwa) na Mkapa mlinuna wengi na jiwe wenu. Kumbe kila kitu mnataka kumount juu yake kuwa ye ndiye mwanzilishi. Watanzania wa sasa sio wa miaka ya utopolo kama nyinyi mlivyobaki kwenye utopolo.
I though being abroad you could be a man of facts kumbe bure kabisa!
 
Mkapa 1994???? We mla vumbi niaje...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ