MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
Nimeipenda article
Ukweli mchungu ujue
Mpatieni Pascal Mayalla jukumu la kuzijibu hizi hoja maana zimekaa vibaya sana kwa kweli......
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeipenda article
Ukweli mchungu ujue
Aaah wapi! Hawa ndio dawa yenu. Mnakumbuka mlivoweweseka baada ya ile kauli yenu kuhusu ushoga, kwasababu hawa mabwana zenu walimaindi kupindukia? Barua za kukanusha mliandika nyingi, mkawa wadogo kama piriton hadi mkalegeza na kuwakubalia mashoga wafanye yao. Hawa mabeberu ndio wanawanunulia madawati ya wanafunzi, madawa pia na ndio huwa wanawalipa walimu na madaktari wenu mishahara. Au unadhani ule ufadhili wa karibia bajeti yenu nusu na misaada kutoka kwa wazungu huwa ni wa bure?Mdomo anao ila sisi tunajenga na chukutufanya hawana... Wanadhani tz ni nchi ka nchi zinazowashobokea hahahaha hapa pini tuuu walie wakichoka bwawa limekamilika
..... na jukwaa lenyewe la Kenya lipo kwenye forum la kitanzania. Alafu walio wengi na wanaokesha humu kwenye jukwaa hili 24/7 sio wakenya ni hao hao wenzako. Tafakari hayo.AMA KWELI SISI WATANZANIA NI WATU WAKUBWA
TANZANIAN ISSUES IN KENYAN FORUMS
AM PROUD TO BE TANZANIAN
Sawa kwakuwa ww ni mTz hah..... na jukwaa lenyewe la Kenya lipo kwenye forum la kitanzania. Alafu walio wengi na wanaokesha humu kwenye jukwaa hili 24/7 sio wakenya ni wenzako. Tafakari hayo
Tanzania ndio nchi iliyobarikiwa zaidi Afrika nzima na ndio yenye ushawishi na uchumi mkubwa katika ukanda huu. Nchi ya maziwa na asaliAMA KWELI SISI WATANZANIA NI WATU WAKUBWA
TANZANIAN ISSUES IN KENYAN FORUMS
AM PROUD TO BE TANZANIAN
Aaaah mzee pombe kiboko aisee kashika makende ya wazungu wamebaki kutoa mimapovu tuHehe mzungu halali na amani kisa mzee wa chato😂😂😂.
Wataandika hadi wachoke
You sound hypocriteTanzania ndio nchi iliyobarikiwa zaidi Afrika nzima na ndio yenye ushawishi na uchumi mkubwa katika ukanda huu. Nchi ya maziwa na asali
Kudadeeki wallahi!Mi nafurahi sana unavyowatoa wazungu mapovu
Na kwao huendi kudadeeeki
You are poor.You sound hypocrite
Utafiti unaonesha wao ndo huja bongo na the the the zaoKudadeeki wallahi!
Ila huko ataongea nao lugha gani kama si 'ze ze ze'?
Kwanza utambue zabuni iliyotangazwa ya train ni za hybrid.But sio about interest pekee....Kuna some very pertinent issues zimekuwa raised Kwa hiyo article...especially on the power required to run the Sgr trains....If the country has been experiencing black outs,how then will it get power for the electric trains? Najua utaniambia Stiglers Gorge,....huu mradi utachukua zaidi ya miaka mitano kukamilika, ilhali mnasema by Dec, reli kutoka Dar-Morogoro itakuwa imekamilika....basi hizo trains zitaendeshwa na umeme upi?
Ala! Si ndio maana nipo kwenye jukwaa hili, la Kenya . Mkileta zile propaganda zenu kwenye jukwaa hili, eti mara sijui Jiwe katunukiwa tuzo la ukombozi Afrika kule S.Korea, si huwa mnaona mzuka? Kunani leo? Jombaa, kama tamu rambaaa!Sawa kwakuwa ww ni mTz hah
Umeonaa ehee! Kuna mshikaji humu ndani ali-post kitu kama hiki kuhusu ndege zetu! Nikamzodoa na facts za dreamliner zao zilizokaa bila matumizi miaka minne! Mwandishi ni jirani na ndo maana hajaweka jina!