WABEBERU WANATUONEA: Tanzania’s president loves mega-projects. Careful planning, less so

WABEBERU WANATUONEA: Tanzania’s president loves mega-projects. Careful planning, less so

Ni ukweli Serikali za ulaya zingependa Africa ibaki shamba lao wapate madini watakavyo lakini hata hivyo, Policy za Magufuli zingine ni za kurudisha nchi nyuma, asiwawekelee shida zote wabeberu.
 
Nashangaa sana. Hivi majirani wamejenga takriban 1/10 ya reli ambayo imewagharimu $1.9bn (about 4% ofGDP). Ina maana ndio mradi ukamilike utakua imewagharimu about 40% of the GDP. Wenzetu mtawezana kweli? Na ndio bado kuna wanaoeneza propaganda eti mnajenga kwa pesa za ndani 😹🤦‍♂️
 
Mdomo anao ila sisi tunajenga na chukutufanya hawana... Wanadhani tz ni nchi ka nchi zinazowashobokea hahahaha hapa pini tuuu walie wakichoka bwawa limekamilika
Aaah wapi! Hawa ndio dawa yenu. Mnakumbuka mlivoweweseka baada ya ile kauli yenu kuhusu ushoga, kwasababu hawa mabwana zenu walimaindi kupindukia? Barua za kukanusha mliandika nyingi, mkawa wadogo kama piriton hadi mkalegeza na kuwakubalia mashoga wafanye yao. Hawa mabeberu ndio wanawanunulia madawati ya wanafunzi, madawa pia na ndio huwa wanawalipa walimu na madaktari wenu mishahara. Au unadhani ule ufadhili wa karibia bajeti yenu nusu na misaada kutoka kwa wazungu huwa ni wa bure?
 
AMA KWELI SISI WATANZANIA NI WATU WAKUBWA

TANZANIAN ISSUES IN KENYAN FORUMS

AM PROUD TO BE TANZANIAN
 
Tanzania siku hizi imekua Kama mti mwenye matunda mazuri tena matamu, lazima atupiwe mawe.
 
AMA KWELI SISI WATANZANIA NI WATU WAKUBWA

TANZANIAN ISSUES IN KENYAN FORUMS

AM PROUD TO BE TANZANIAN
..... na jukwaa lenyewe la Kenya lipo kwenye forum la kitanzania. Alafu walio wengi na wanaokesha humu kwenye jukwaa hili 24/7 sio wakenya ni hao hao wenzako. Tafakari hayo.
 
Bwawa la aswan wazungu walilijambia kichizi yan lakini wamisri wakakaza na leo ndo mhimili wa uchumi wa misri

Bulldozer piga kazi mzee wangu
Mi nafurahi sana unavyowatoa wazungu mapovu
Na kwao huendi kudadeeeki
 
AMA KWELI SISI WATANZANIA NI WATU WAKUBWA

TANZANIAN ISSUES IN KENYAN FORUMS

AM PROUD TO BE TANZANIAN
Tanzania ndio nchi iliyobarikiwa zaidi Afrika nzima na ndio yenye ushawishi na uchumi mkubwa katika ukanda huu. Nchi ya maziwa na asali
 
But sio about interest pekee....Kuna some very pertinent issues zimekuwa raised Kwa hiyo article...especially on the power required to run the Sgr trains....If the country has been experiencing black outs,how then will it get power for the electric trains? Najua utaniambia Stiglers Gorge,....huu mradi utachukua zaidi ya miaka mitano kukamilika, ilhali mnasema by Dec, reli kutoka Dar-Morogoro itakuwa imekamilika....basi hizo trains zitaendeshwa na umeme upi?
Kwanza utambue zabuni iliyotangazwa ya train ni za hybrid.
Zitatumia mafuta na umeme.

Tuanzie hapo kwanza, mfikishie ujumbe huu na muandishi wa econommist najua anajua lakini kahamua kujisahaulisha makusudi.
 
😄 🤩 😀 tumeshashinda hii economic war kwa kutumia TPDF,Tuliiwapiga kangomba na mabeberu kwenye korosho hawakuamini, we are always victorious
 
Sawa kwakuwa ww ni mTz hah
Ala! Si ndio maana nipo kwenye jukwaa hili, la Kenya . Mkileta zile propaganda zenu kwenye jukwaa hili, eti mara sijui Jiwe katunukiwa tuzo la ukombozi Afrika kule S.Korea, si huwa mnaona mzuka? Kunani leo? Jombaa, kama tamu rambaaa!
 
Back
Top Bottom