Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Mwanzo 2:24
[24]Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.
Therefore shall a man leave his father and his mother, and shall cleave unto his wife: and they shall be one flesh.
Nimeweke na tafsiri ya kiingereza ili ilete maana yenye kueleweka na bado ina rudi palepale ....SHALL BE ONE FLESH.
Hii ina maanisha kwamba unapoa mwanamke au mwanamke anapoolewa na mme wake wanakuwa mwili mmoja!
Kumaanisha mwanamke au mwanaume akipata kidonda au maumivu inamaanisha wote mnashare?
Au basi mke wako akizini yaani akifanywa huko nawewe unakuwa umefanywa au imekaaje?
Huwa sielewi maana ya sentence hii nini maana ya kuwa mwili mmoja?