Wabobezi wa siasa za Kiafrika nisaidieni; kwanini Kenya ina siasa za kipekee ndani ya Afrika Mashariki?

Umechambua vizuri sana nimejifunza kitu ambacho sikukijua hapo kabla
 
Ni kweli siasa za Kenya zinatawaliwa sana na ukabila lakini hiyo haituzuii kukubali ukweli kwamba katika ukanda huu wao ndio wanafanya uchaguzi wenye hadhi ya kuitwa uchaguzi.

Angalia hata namna wanavyotoa matokeo, vyombo vya habari vinaruhusiwa kujumlisha matokeo kutokana na form number 34 B wanayopewa na tume ya uchaguzi.

Vyama vya siasa navyo vinaruhusiwa kufanya mahesabu yao bila bugudha na mtandao wa intaneti haufungwi kama Tanzania na Uganda wanavyofanya.

Uchaguzi unakuwa mgumu na usiotabirika kwa sababu hakuna chama kinachobebwa na serikali na polisi hawajihusishi na siasa. Wafungwa wanaruhusiwa kupiga kura sawa na wakenya walioko nje ya nchi. Kwa kweli Tanzania bila uongo Kenya wanatupa darasa kubwa sana na wako mbele yetu miaka 70+ Bravo Kenya for being a model for your authoritarian ruled neighbours.
 
Sehemu yeyote yenye ukabila na majimbo au kaunti kama wanavyoita huko huwa na vyama vya coalition,refer ujerumani,Nigeria nk..

Tanzania tuna siasa kama za Marekani na Uingereza tuna vyama vyenye nguvu.
Hiki ni kituko kufananisha Tanzania na Siasa za marekani, Tanzania mawakala wanarusiwa kuingia kwenye vyumba vya kura saa Saba mchana
 
Mwanafalsafa, hapa umenifumbua macho sana.
 
Baada yakuchukia umeamua Nini?
Kwa Nini ukae na kitu kinacho kukera? Njia Iko wazi unaweza kuukana utaifa wako na kujiunga na utaifa unao upenda.
 
Baada yakuchukia umeamua Nini?
Kwa Nini ukae na kitu kinacho kukera? Njia Iko wazi unaweza kuukana utaifa wako na kujiunga na utaifa unao upenda.
Mkuu

Kulikuwa hakuna ulazima wa jesuits pekee kukaa madarakani kwa muda wote huo hadi chama kikapoteza mvuto !Wangemuachia hata fabian society nao wakae kwa kupokezana kijiti kama wafanyavyo nchi nyingine !nini kingeharibika!!?si wote ni watoto wa Baba mmoja!!?watoto waliolelewa kwa PAMOJA mmoja akaamua kuoa mwingine akaendelea na desturi ya kutokuoa!!

Mambo yangenogaje hata MAFISADI wasingejipanga coz hawajui nani mshindi wa uchaguzi ujao na kungekuwa na afya ya umoja wa kitaifa ulioachwa na mwl NYERERE!!

Sasa leo wanajidai wakisema chama kina wenyewe tena wanajiona Wana haki ya kutawala wao WENGINEhamna kabisa!

Nachelea

"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA owe Katiba mpya""'!
 
Aseeee!
 
Mnasifia Sana mpaka mnajisahau havi Kuna taifa east Africa linaiizidi Kenya kua na viongozi mafisadi?
 
Sehemu yeyote yenye ukabila na majimbo au kaunti kama wanavyoita huko huwa na vyama vya coalition,refer ujerumani,Nigeria nk..

Tanzania tuna siasa kama za Marekani na Uingereza tuna vyama vyenye nguvu.
Umeumwa sana, nafurahi jinsi Watanzania wenzako wanvyokuumbua. 🀣 🀣 🀣
 
Wamefika hapo walipo sasa baada ya damu kumwagika. Tujifunze kitu hapo
 
Wamefika hapo walipo sasa baada ya damu kumwagika. Tujifunze kitu hapo
Umwagaji wa damu katika Jambo lolote inapaswa kuwa option ya mwisho kabisa(kama kun ulazima).
Mengi yanazungumzika!
 
Sehemu yeyote yenye ukabila na majimbo au kaunti kama wanavyoita huko huwa na vyama vya coalition,refer ujerumani,Nigeria nk..

Tanzania tuna siasa kama za Marekani na Uingereza tuna vyama vyenye nguvu.
Ujinga wa raiya sio nguvu ya vyama, propaganda inawaingia mnachanganyikiwaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.., in Tanzania, technically chama ni moja tu; CCM, usiitaje Tz sentensi moja na US or UK., Tanzania ni China na Russia ya Africa, chama kimoja kinacho kandamiza upinzani! US na UK wako na demokrasia chama moja haitawali miaka 50 kwa mabavu., uko na upuzi sana ya kutetea ujinga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

US iko na majimbo kama hauna taarifa, uko na wivu kila sehemu Kenya inatajwa positively πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…