Wabobezi wa siasa za Kiafrika nisaidieni; kwanini Kenya ina siasa za kipekee ndani ya Afrika Mashariki?

Katika tathmini au uoni wako hapo ndo umeona vizuri, ila hujaona kwa undani.

Kenya kuna chama kimoja kikuu cha siasa. Chama hicho ni kabila na ukanda.

Ukanda wanaojiita "watu wa milimani" yaani wakikuyu na wakalenjini na wengineo wa maeneo ya Mlima Kenya ndiyo wanaotawala.

Asili ya hawa watu kutawala ni kwamba Mzungu anapenda sehemu za baridi kama vile Iringa na Mbeya. Kwa hiyo Mzungu alipovamia Kenya alikwenda moja kwa moja kukaa maeneo ya baridi na mji mkuu akaweka Nairobi ambako ni eneo la baridi.

Ili mzungu akae ilibidi awafukuze waAfrika waliokuwa wanaishi hapo, wengi wao wakiwa ni waKikuyu. Aliwafukuza halafu akachukua ardhi yao akalima kahawa, na ili waAfrika hao waje kumfanyia kazi kama manamba akatunga sheria ya kodi ya kichwa, ambayo usipolipa unaadhibiwa kwa kudhalilishwa kwa kuchapwa viboko hadharani eneo la sokoni, au mbele ya mke na watoto wako. Au ukiwa sugu zaidi unafungwa jela.

Kwa hiyo wale walioporwa ardhi wakajikuta tena wanalazimika kuwa watumwa kumlimia mzungu kahawa zake ili wapate pesa ya kulipa kodi. Maana pesa halali ilikuwa ni ile anayochapisha mzungu.

Hapa ndo watu wa milimani wakapata hasira mara kumi dhidi ya mzungu na kuhakikisha wanapigana naye kufa na kupona aondoke kwenye ardhi yao.

Mzungu kwa kutambua kuwa hawa watu aliowapora ardhi wanamchukia akaenda kwa wajaluo ambao ni watu wa bondeni kwenye ufukwe wa ziwa Nyaza ila aliowaona wana akili za darasani. Hawa ndo akawapa kipaumbele cha kuwasomesha elimu yake ili wamsaidie kazi za kiutawala ofisini. Hakutaka wakikuyu na wakalenjini ambao alikuwa amewapora ardhi wasome na kukaa maofisini maana wangemhujumu.

Wajaluo ni wapenda sifa sana, na kitendo cha kutunukiwa hadhi hiyo na Mzungu kikawavimbisha vichwa, wakajikuta wanafurahi kushiriki kwenye ukoloni.

Kitendo hiki kiliwachukiza sana wakikuyu na wakalenjini. Hivyo harakati zao za kudai uhuru zilipofanikiwa waliapa kwamba Mjaluo hatakuja kutawala Kenya!

Hizo ndo siasa za Kenya. Hivyo vyama vinavyobadilika kila msimu wa uchaguzi visikusumbue. Na katu usije ukapiga debe kwamba Tanzania iige siasa za Kenya. Tuna urithi tofauti kidogo kati yetu na wao.

Wajaluo nao wana hasiria sana kwa sababu ya kuwekwa kando kwa miaka 59 sasa, kwa hiyo Uhuru Kenyatta ni kama aliona awahurumie kidogo. Aidha ni hivyo au ni mchezo tu wa kisiasa kwa sababu katika siasa mara nyingi sana mgombea anayeungwa mkono na Rais anayemaliza muda wake huwa anakataliwa na wapiga kura. Kwa hiyo kama wewe ni Rais ukitaka kumsaidia mgombea wakati mwingine ni vizuri ukampiga vita waziwazi ili wananchi wakuchukie wewe Rais unayeondoka na wamuunge mkono mgombea uliyesema humtaki.

Watu wa Pwani wao kwa kuona wametengwa katika hili bifu kuu la kati ya watu wa milimani dhidi ya wajaluo wao wakaona watangaza kujitenga. Walifanya kampeni na vuguvugu la Pwani si Kenya mwaka 2010-2011 wakitangaza Jamhuri ya Mombasa kuwa ni jamhuri huru iliyojitenga kutoka kwenye Jamhuri ya Kenya. Hii ilitokana na vita iliyoibuka kati ya watu wa milimani na Wajaluo kufuatia uchaguzi wa Rais wa Kenya wa mwaka 2007 ambapo Wajaluo waliona mtu wao Raila Odinga amenyang'anywa ushindi.

View attachment 2320307 View attachment 2320312
Umechambua vizuri sana nimejifunza kitu ambacho sikukijua hapo kabla
 
Ni kweli siasa za Kenya zinatawaliwa sana na ukabila lakini hiyo haituzuii kukubali ukweli kwamba katika ukanda huu wao ndio wanafanya uchaguzi wenye hadhi ya kuitwa uchaguzi.

Angalia hata namna wanavyotoa matokeo, vyombo vya habari vinaruhusiwa kujumlisha matokeo kutokana na form number 34 B wanayopewa na tume ya uchaguzi.

Vyama vya siasa navyo vinaruhusiwa kufanya mahesabu yao bila bugudha na mtandao wa intaneti haufungwi kama Tanzania na Uganda wanavyofanya.

Uchaguzi unakuwa mgumu na usiotabirika kwa sababu hakuna chama kinachobebwa na serikali na polisi hawajihusishi na siasa. Wafungwa wanaruhusiwa kupiga kura sawa na wakenya walioko nje ya nchi. Kwa kweli Tanzania bila uongo Kenya wanatupa darasa kubwa sana na wako mbele yetu miaka 70+ Bravo Kenya for being a model for your authoritarian ruled neighbours.
 
Sehemu yeyote yenye ukabila na majimbo au kaunti kama wanavyoita huko huwa na vyama vya coalition,refer ujerumani,Nigeria nk..

Tanzania tuna siasa kama za Marekani na Uingereza tuna vyama vyenye nguvu.
Hiki ni kituko kufananisha Tanzania na Siasa za marekani, Tanzania mawakala wanarusiwa kuingia kwenye vyumba vya kura saa Saba mchana
 
Mwanafalsafa, hapa umenifumbua macho sana.
 
Walikuwa settler's Wana kauzungu FULANI HIVI!na kanawasaidia Sana!!!

Sio kama sisi !,tumefanya ccm kama Mungu,Mzimu na Dini!Ni aibu hata Dola yaani Deep State ilikumbatia ujinga huu Hadi ukaota mimba na KUZAA umungu mtu,ufisadi na Sasa ni ukoo umeshika madaraka ni aibu kuona hili Hadi nachukia kuitwa mtanzania aiseh!inauma Sana!!

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe KATIBA MPYA"!
Baada yakuchukia umeamua Nini?
Kwa Nini ukae na kitu kinacho kukera? Njia Iko wazi unaweza kuukana utaifa wako na kujiunga na utaifa unao upenda.
 
Mkuu

Kulikuwa hakuna ulazima wa jesuits pekee kukaa madarakani kwa muda wote huo hadi chama kikapoteza mvuto !Wangemuachia hata fabian society nao wakae kwa kupokezana kijiti kama wafanyavyo nchi nyingine !nini kingeharibika!!?si wote ni watoto wa Baba mmoja!!?watoto waliolelewa kwa PAMOJA mmoja akaamua kuoa mwingine akaendelea na desturi ya kutokuoa!!

Mambo yangenogaje hata MAFISADI wasingejipanga coz hawajui nani mshindi wa uchaguzi ujao na kungekuwa na afya ya umoja wa kitaifa ulioachwa na mwl NYERERE!!

Sasa leo wanajidai wakisema chama kina wenyewe tena wanajiona Wana haki ya kutawala wao WENGINEhamna kabisa!

Nachelea

"Rasimu ya warioba irudi mezani SASA owe Katiba mpya""'!
 
Aseeee!
 
MKUU

Deep state yao ina maono Sana!haikukubabali ujinga wetu wa huku!eti huku wamefumba macho wakiona ufisadi ukijua Hadi kukita mizizi!walishindwa hata kumchagua member ndani yao the state aanzishe chama na kishike dola kama mbadala wa CCM!wakaiacha NCHI itopee kwenye UFISADI na wakamuingiza jpm mkenge akaingia katikati ya moto mkali wa mapambano makali akapigwa propaganda za kitoto na kuchonganishwa na wananchi na kuchukiwa Sana na wananchi!!Hata kama ni mimi mzalendo ningekuwa jpm ningefanya vilevile co hamna namna!Sasa walamba asali wametapakaa wakijipandishia mafuta wanavotaka huku the state INAVUMILIA eti muda ufike ndio wafanye maamuzi wakati WANAJUA watu wanaumia Sana KWA mdororo wa uchumi uliopo!!!

The state Kati ya kosa kubwa mmelifanya ni kuruhusu nchi kuongozwa na chama kimoja KWA muda mrefu kiasi kwamba ufisadi umekuwa kama SHERIA ya asili hapa nchini akija mzalendo anapata shida kuongozwa nchi iliyooza kwq ufisadi Hadi anachukiwa na wananchi KWA propaganda za kitoto!!!

Shame on you Tanzania The state for this!!! CCM imeumiza wengi Sana na kuua wengi Sana Ili ibaki madarakani kuliko hata mngeleta chama mbadala cha kupokezana nayo angalau mngeponyesha Taifa KWA ukatili uliojitokeza miaka yote hii!!
Mnasifia Sana mpaka mnajisahau havi Kuna taifa east Africa linaiizidi Kenya kua na viongozi mafisadi?
 
Sehemu yeyote yenye ukabila na majimbo au kaunti kama wanavyoita huko huwa na vyama vya coalition,refer ujerumani,Nigeria nk..

Tanzania tuna siasa kama za Marekani na Uingereza tuna vyama vyenye nguvu.
Umeumwa sana, nafurahi jinsi Watanzania wenzako wanvyokuumbua. 🤣 🤣 🤣
 
Ni kweli siasa za Kenya zinatawaliwa sana na ukabila lakini hiyo haituzuii kukubali ukweli kwamba katika ukanda huu wao ndio wanafanya uchaguzi wenye hadhi ya kuitwa uchaguzi.

Angalia hata namna wanavyotoa matokeo, vyombo vya habari vinaruhusiwa kujumlisha matokeo kutokana na form number 34 B wanayopewa na tume ya uchaguzi.

Vyama vya siasa navyo vinaruhusiwa kufanya mahesabu yao bila bugudha na mtandao wa intaneti haufungwi kama Tanzania na Uganda wanavyofanya.

Uchaguzi unakuwa mgumu na usiotabirika kwa sababu hakuna chama kinachobebwa na serikali na polisi hawajihusishi na siasa. Wafungwa wanaruhusiwa kupiga kura sawa na wakenya walioko nje ya nchi. Kwa kweli Tanzania bila uongo Kenya wanatupa darasa kubwa sana na wako mbele yetu miaka 70+ Bravo Kenya for being a model for your authoritarian ruled neighbours.
Wamefika hapo walipo sasa baada ya damu kumwagika. Tujifunze kitu hapo
 
Umwagaji wa damu katika Jambo lolote inapaswa kuwa option ya mwisho kabisa(kama kun ulazima).
Mengi yanazungumzika!
 
Sehemu yeyote yenye ukabila na majimbo au kaunti kama wanavyoita huko huwa na vyama vya coalition,refer ujerumani,Nigeria nk..

Tanzania tuna siasa kama za Marekani na Uingereza tuna vyama vyenye nguvu.
Ujinga wa raiya sio nguvu ya vyama, propaganda inawaingia mnachanganyikiwa😂😂😂.., in Tanzania, technically chama ni moja tu; CCM, usiitaje Tz sentensi moja na US or UK., Tanzania ni China na Russia ya Africa, chama kimoja kinacho kandamiza upinzani! US na UK wako na demokrasia chama moja haitawali miaka 50 kwa mabavu., uko na upuzi sana ya kutetea ujinga 😂 😂 😂 😂 😂 😂

US iko na majimbo kama hauna taarifa, uko na wivu kila sehemu Kenya inatajwa positively 😂 😂 😂 😂 😂
 
Back
Top Bottom