Hapa ndipo wanapokera zaidi. Lugha siyo maandishi bali ni muktadha na maudhui...Kiingereza cha kuunga unga,
Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu.
Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi.
Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga unga, ukiingia kwa wasanii pia unakutana na wasanii wetu kama wanalazimisha urafiki Kwa nguvu.
Very sad.....
Nimechekaa had machoziiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio kwa Celebrities tu, hata hawa wenzangu na mimi kwenye page za michezo Africa wakiripoti habari za kutoka let's say Kenya, Uganda, Ghana, Zimbabwe..
Utawakuta na kiingereza cha "She took my book, Tookn't she?", utasikia farmers league, Tanzania is big than them.
Nadhani katika package ya Mtanzania, ULIMBUKENI na USHAMBA tumezidishiwa.
Umeongea kiingereza Cha kihayaThat is Minor is issue to be discussed
ππππfarmers league
wacha we!kingeeeThat is Minor is issue to be discussed
Wewe unaonekaana una maringo ya kishamba sana yani mtu fulani unajipa umuhimu mno chini ya jua. Nnauhakika mind reading yangu ni 100% βYaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu.
Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi.
Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga unga, ukiingia kwa wasanii pia unakutana na wasanii wetu kama wanalazimisha urafiki Kwa nguvu.
Very sad.....
Boss kilichokupeleka kwenye hizo page ni nini hasa?Nenda Tu page ya Fabrizio na wengine kina Snoop na Rihanna utawaona tu