The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,282
- 117,244
Yaani unaingia page ya mtu maarufu dunia nzima unakutana na comments za wabongo ambao na wao maarufu hapa bongo zinatia aibu.
Ni kama wanalazimisha umaarufu sehemu ambako sio sahihi.
Ukiingia page ya Fabrizio unakutana na wachambuzi wa kibongo nao wanaleta ujuaji huko na kingereza cha kuunga unga, ukiingia kwa wasanii pia unakutana na wasanii wetu kama wanalazimisha urafiki Kwa nguvu.
Very sad.....