Wabongo Hawatumii Consultants vizuri ndio maana wengi wanafeli kwenye biashara

Mkuu mm nafanya biashara ya kubadilisha Gas mtaji sio mkubwa kivile ,nifanyaje ilo nipate au niongeze wateja wapya maana kila mwezi wateja ni wale wale wa mtaani ??
Nataka nikupe mbinu

Unapatikana mji gani?
Unamashine ya EFD?
Unamzani?
 
Big up bro
 
Kichwa cha habari na content haviendani kabisa

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Kuna waliotumia taarifa sahihi tena kwa gharama ila wakafeli! Kulikoni? Sema mtu awe macho na ulinwengu wa roho nitakuelewa
 
Kuna waliotumia taarifa sahihi tena kwa gharama ila wakafeli! Kulikoni? Sema mtu awe macho na ulinwengu wa roho nitakuelewa
Kufeli kuna sura mbili.Kuna kuanguka bila kujua ulipojikwaa na kuanguka huku unajua ulipojikwaa.Huduma tunayotoa inakuezesha kwanza kupanga kwa kina,kuwa na taarifa sahihi na kufahamu mapemo risks ambazo zipo ili ujue kama ni aina ya risks ambazo uako tayari kuzichukua.

Mwisho wa siku unakuwa unafahamu hasa ni nini unafanya na kwa nini na matokeo yake unayategemea.Karibu ujaribu huduma zetu kwa mawasiliano simu 0710323060.
 
Nimesema nikuwa ninajiamini. Yamenitokea mimi!! Huenda kila mahali penye mafanikio pana ubaya uliojificha.
 
Nimesema nikuwa ninajiamini. Yamenitokea mimi!! Huenda kila mahali penye mafanikio pana ubaya uliojificha.
Hapa umeniacha.Kujiamni ni muhimu,kufeli kupo na kujifunza kupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…