Mkuu,uamuzi wa kutumia consultant kutoka katika full consulting agency au independent agency unategemea resources zako na malengo yako.Katika Consulting huna kuna hatua tatu kubwa
Kwanza ni kutambua tatizo au lengo la mteja wako.
Pili ni kutengeneza Makisio ya sababu au matoke
Tatu ni Kufanya Majaribio
Kuna hatua nyingi ndogo hapo kati.Kwa mfano kwa mimi Huwa Hatua ya Kutambua tatizo au lengo huwa inakuwa na Fixed Fee.Yaani Unajisajili tu Kama mteja wangu kisha nakufanya IDENTIFICATION YA TATIZO LAKO.Ukiridhika na Prognosis yangu ndo unaweza sasa kuamua kama utanipa kazi au LA ili nitafute solution na tufanye Mjaribio.Hata ukienda kwa Agency Mkubwa hatua ni hizo hizo ila kinacholeta tofauti ni Ubunifu,Uzoefu na Ujasiri wa Consultant kuamini katika solution yao hapo ndipo consultants wanatofautiana.
karibu ujaribu huduma zetu naamini utaridhika na kufurahia
Mawasiliano ni +255715323060 Email
masokotz@yahoo.com