C.T.U
JF-Expert Member
- Jun 1, 2011
- 5,074
- 3,743
In case hujui Guardiola alicheza Barcelona na alikuwa ni mkata umeme hatari miaka ya 90 inawezekana ulikuwa mdogo sana ila Guardiola mpira anaujua kuucheza vizuri namba 6 mzee wa dimba
Mkuu Wangari Maathai kama hoja yako ya kwamba wafanyabiashara wengi wana upeo mkubwa ingekuwa na mashiko, issue ya consultation ingeanzia kufa nchi za wenzetu ambazo wana mifumo mizuri ya elimu za biashara, wana access kubwa ya informations through internet lakini pia mifumo yao ni rafiki sana kusupport growth na existence ya biashara kuliko kwetu.
Kama ni mfuatiliaji wa mpira, Pep Guardiola ni moja ya high profile modern coaches, ukitazama timu anayoifundisha ikicheza hakika unaona flow ya mpira wake unaridhika kuwa he is a football tactician. Lakini naamini ukimuingiza uwanjani hawezi fanya hata nusu ya robo ya kile anachokifundisha.
Generally, kila mtu ana position yake ambayo akikaa you can get the best out of him, yule Messi angechagua kuwa ni golikipa sidhani kama leo hii dunia ingemtambua kama anavyo tambulika.