Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
- Thread starter
- #41
Mkuu,Nimefanya kazi na Consultants kutoka hadi nje ya nchi na approach ya consulting ni ile ile na wala hakuna muujiza wowote.Vitu tunavyofanya wakati mwingine ni nje ya uhalisia na wakti mwingine hata watu wa kawaida wanaweza kufanya.Tafuta 'Biashara' 10 zishauri, zikue na zisimame.
Then ziweke kwenye 'sample portifolio' yako na kupitia kwazo utapata wateja wengi tu kupitia Recommendation.
Maana consultants wengi wa bongo mnashauri mambo yaliyo nje ya uhalisia na kufanya vitu ambavyo hata wasio wataalamu wanafanya
Kuwa consultant hakuhitaji kuwa na concept na idea mpya bali hata kuweza kutumia normal ideas kufikia business objectives is better.
Napokea challenge yako,Soon I will put a portfolio kwa sababu tayari ninao clients zaidi ya 10 ambao wamefanikiwa.