Tony254
JF-Expert Member
- May 11, 2017
- 16,017
- 16,431
Kwa miaka kadhaa sasa nimekuwa nikisoma hapa Jf jinsi wabongo wanavyojichokea kwa kutegemea Kenya airways kwa sana. Ninyi huwa mna hisi uchungu fulani kwamba mukitaka kuenda nje lazima mupande ndege ya Kenya. Huwa mkiona KQ kwenye airport yenu huwa mnakereka sana ila hamna namna.
Inabidi mpande tu kwa sababu nyie hamna ndege yenu inayokatiza anga nje ya Afrika. Hata hiyo Mumbai sidhani kama dreamliner yenu imeanza safari. Mkitaka kuenda Uchina, Marekani, Uingereza lazima mupande midege yetu. Poleni sana