Wabongo huhisi upungufu fulani kwa kutegemea Kenya airways kwa kiasi kikubwa

Munakuanga na utoto na ukumbavu wa hali ya juu. Mijungu full kama wachawi. MK254 hebu ona hawa wenzako wanavyopenda kulipiza kisasi. Hawa watu wanapenda bifu sana.

Whatever, Why mnapofanya Biashara eneo flani mnajiona mnafanya Charity? I thought business should be win win? Lakini nyinyi Mmejaa maneno ya majigambo mnaongea kila maneno ya ajabu ajabu. Angalia tu we mwenyewe hapo umeanza na Sijui Ukumbabu?? Majungu na uchawi, BTW , Don’t be mad Try to understand.
 
Mjinga wewe na utabaki na ujinga wako. Kuna mashirika mengi ya ndege yanakuja Tanzania na kwenda Dunia nzima

KLM, Swiss, Turkish, Qatar, Emirates, Egyptair, Ethiopian etc wote wanakuja Tanzania. Ngoja KQ ipigwe ban kuja Tanzania uone nani ataanza kulia.
Tayari, tunasubiri reaction
JamiiForums-1597831292.jpg
 
Munakuanga na utoto na ukumbavu wa hali ya juu. Mijungu full kama wachawi. MK254 hebu ona hawa wenzako wanavyopenda kulipiza kisasi. Hawa watu wanapenda bifu sana.

Kwa mara ya kwanza nimejikuta nafurahi sana kwa hatua za rais Uhuru, amedhihirisha kwamba afya ya Wakenya ni muhimu kuzidi maslahi ya kiuchumi, na akaamua kama mbwai na iwe mbwai, alifunga mpaka na ikaamuliwa kila Mtanzania anayekuja huku lazima apimwe, wakang'aka sana, wakatunisha misuli, wakapiga makelele, ila hatimaye wakatulia, leo hii hakuna anayeingia bila kupimwa tena na wataalam wetu.
Hata hili la ndege, wacha iwe hivyo, bora tupoteze hiyo biashara lakini Wakenya wabaki salama, hawa jamaa walishajichokea wanataka wasambaze corona kote kote.
Wakikataliwa Kenya huwa wanalia sana.
Binafsi nimepata faraja kuona rais Uhuru ameanza kufanya maamuzi magumu dhidi yao....
Muhimu ikafahamika kwenye nyanja zote kwamba Tanzania is a hostile neighbor japo wanafiki sana, usipokua makini watakuchelewesha sana.
 
MK254: ninyi mnafurahia maamuzi ya Rais Uhuru na Sisi tunafurahia maamuzi ya Rais Magufuli kwahiyo kila mtu anafuraha wala hakuna tatizo sababu sote tunafuraha,

Na ndio maana tuliwachagua ili wawe wanafanya maamuzi yenye maslahi kwa ajili yetu, wa kwenu kafanya yake kwa maslahi ya Watanzania, vile vile wetu katanguliza maslahi yetu mbele, kwa hivyo tuendelee, tuviziane kwenye kingine pia na kufungiana mpaka kila mmoja ajihisi salama, kwa sasa mambo ya uchumi tumeweka pembeni, ubora wa afya yetu kama jamii ndio kitu cha msingi.

Leo hii hata Marekani ambao wana undugu wa karibu na Uingereza lakini wamefungiana vitu vingi sana na maisha yanaendelea, na ndio taswira kote, nenda Uhispania na Ufaransa hawaonani, bara Uropa kote wamefungiana, ndio ngoma ya corona ilivyo. Uzuri wa hii corona imedhihirisha kumbe kuna mambo yanaweza kuendelea hata bila uwepo wa uhusiano baina yetu, kwa mfano leo tumefunga mpaka lakini mambo yanaenda, hatujaathirika sana kiuchumi kama tulivyokua tukiogopa hapo awali, na hii imetupatia ujasiri sana.
 
Haha!🤣🤣 My brother MK254, can you be authentic and stop being phony at some point? In fact, Kenyatta has botched to meet the anticipations of Kenyans, I don't like what's going on now because I understand that these two countries are very economically interdependent, but you don't want to see it because of your Tz vs Ke idiotic rivalry. This conflict will not get us anywhere other than to bring pain to the poor citizens of the two countries...
 
Yaani Kenya wanapewa mikopo mikubwa na Mashirika ya fedha Duniani halafu wanavimbishwa kichwa na wanaowakopesha na Wakenya wanajaa.Sasa badala ya kutanua vyanzo vya Mapato ili walipe hayo Madeni wao wanaharibu Mahusiano na Majirani ambao wangefanya nao Exchange na kudunduliza vijisenti ili wakakomboe hati ya Nchi.Pia Mabeberu wana njia nyingi za kuendelea kukalia Makoloni,Tanzania hawaielewi yaani ni Unstable Colony kwa Mabeberu.Kenya hawajui kwamba wanachekelea mikopo na wanajilimbikizia kitu ambacho walitakiwa kupewa wao kiasi na Tanzania kiasi ili lengo la mzungu litimie.Tanzania kachomoa mkopo wa Corona na mzungu hajakubali kutibuliwa malengo,sasa m-badala wake anachochewa huyu jirani ili alimbikiziwe deni lote na Jamaa wanakubali kubali tu.Sasa Nawaambieni wakenya wasipokuwa Makini itakuwa ngumu sana kwa wao kujitoa kwenye neocolonialism. Muda utaongea.
 
Na ndio maana tuliwachagua ili wawe wanafanya maamuzi yenye maslahi kwa ajili yetu, wa kwenu kafanya yake kwa maslahi ya Watanzania, vile vile wetu katanguliza maslahi yetu mbele, kwa hivyo tuendelee, tuviziane kwenye kingine pia na kufungiana mpaka kila mmoja ajihisi salama, kwa sasa mambo ya uchumi tumeweka pembeni, ubora wa afya yetu kama jamii ndio kitu cha msingi.

Leo hii hata Marekani ambao wana undugu wa karibu na Uingereza lakini wamefungiana vitu vingi sana na maisha yanaendelea, na ndio taswira kote, nenda Uhispania na Ufaransa hawaonani, bara Uropa kote wamefungiana, ndio ngoma ya corona ilivyo. Uzuri wa hii corona imedhihirisha kumbe kuna mambo yanaweza kuendelea hata bila uwepo wa uhusiano baina yetu, kwa mfano leo tumefunga mpaka lakini mambo yanaenda, hatujaathirika sana kiuchumi kama tulivyokua tukiogopa hapo awali, na hii imetupatia ujasiri sana.
Hiyo hela ya korona mliyo kopa $1bil inakwisha mwezi huu ,wewe subiri huone huu mwaka aujaisha lazima huu mwaka mtii tena jiandaeni na super lockdown niliwaambia mnafungua nchi lazima mtafunga tena naona vyuo mmefunga tena na mabaa
 
Haha!🤣🤣 My brother MK254, can you be authentic and stop being phony at some point? In fact, Kenyatta has botched to meet the anticipations of Kenyans, I don't like what's going on now because I understand that these two countries are very economically interdependent, but you don't want to see it because of your Tz vs Ke idiotic rivalry. This conflict will not get us anywhere other than to bring pain to the poor citizens of the two countries...

It depends with your perspective, you're interpreting it as a conflict, while for us we are being strategic and focusing on safety of our citizens. Remember we are not the only country that has barred Air Tanzania from landing into our airports, you people are being shunned by the world because you chose to ignore all scientific logic as far as this pandemic is concerned, you lowered your guard and succumbed to state of apathy.

Yes we shall lose, but we have to count our loses and weigh against the alternative, do a comparison analysis.......
 
Mjinga wewe na utabaki na ujinga wako. Kuna mashirika mengi ya ndege yanakuja Tanzania na kwenda Dunia nzima

KLM, Swiss, Turkish, Qatar, Emirates, Egyptair, Ethiopian etc wote wanakuja Tanzania. Ngoja KQ ipigwe ban kuja Tanzania uone nani ataanza kulia.
Mkuu KLM imeanza kuja dar lini?
 
Munakuanga na utoto na ukumbavu wa hali ya juu. Mijungu full kama wachawi. MK254 hebu ona hawa wenzako wanavyopenda kulipiza kisasi. Hawa watu wanapenda bifu sana.
Tunafanya ulicho kifanya wewe unasema tunataka beef,wakati tulichokifanya ni sawa ulichofanya wewe.

Unachokoza ugomvi wakati nguvu hauna,umemwaga mboga sisi tumeamua tubaki na ugali, mboga tutapa kutoka mashirika mengine ya ndege,alafu tuone nani atalala njaa.
 
Kwa mara ya kwanza nimejikuta nafurahi sana kwa hatua za rais Uhuru, amedhihirisha kwamba afya ya Wakenya ni muhimu kuzidi maslahi ya kiuchumi, na akaamua kama mbwai na iwe mbwai, alifunga mpaka na ikaamuliwa kila Mtanzania anayekuja huku lazima apimwe, wakang'aka sana, wakatunisha misuli, wakapiga makelele, ila hatimaye wakatulia, leo hii hakuna anayeingia bila kupimwa tena na wataalam wetu.
Hata hili la ndege, wacha iwe hivyo, bora tupoteze hiyo biashara lakini Wakenya wabaki salama, hawa jamaa walishajichokea wanataka wasambaze corona kote kote.
Wakikataliwa Kenya huwa wanalia sana.
Binafsi nimepata faraja kuona rais Uhuru ameanza kufanya maamuzi magumu dhidi yao....
Muhimu ikafahamika kwenye nyanja zote kwamba Tanzania is a hostile neighbor japo wanafiki sana, usipokua makini watakuchelewesha sana.
Hapo unaandika kishujaa lakini rohoni unaumia sana
 
Back
Top Bottom