Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Wakati unasema diaspora ulisema ndugu zako?

Kama mindugu yako Ina roho mbaya mbona unajumuisha diaspora wote?

Maisha yako ni jukumu lako, ndugu zako wamefika huko kwa juhudi zao wewe endelea na makasiriko ya reja reja uone kama utafika popote. Utakula vumbi Hadi upauke
Walikuambia wamefika kwa juhudi zao? Ujuaji wa kijinga🚮🚮🚮🚮
 
Watanzania wengi hawana akili

Nimewahi kusema hapa ya kwamba huko nje kuna fursa kibao ila huwezi ona watanzania waishio huko akiwemo Kiranga wanakusanua kuhusu hilo,wao wamekalia ujinga na uzwazwa tu.

Ukiuliza fursa huko utaambiwa maisha ni magumu kwa kulipa bills,yaani kila ukiluza utaambiwa bills ni tatizo.

KWA KIFUPI.

WATANZANIA WENGI WAISHIO NJE HUKO HASA MAREKANI NI WAJINGA NA MAZUMBUKUKU
Kama kuwa diaspora ni kuamini kwamba Mungu hayupo kama anavyoamini Kiranga, basi huo udayaspora hauna maana yoyote kwangu.
 
Mimi ndo maana sitaki kujuana na wabongo,mimi salaam tu basi.

Hii ni kweli kuna jamaa yeye yupo UK,akamsaidia kijana mwenzio wa kinondoni na akafika UK na akafikia kwake,baada ya ujua mitaa na akapata jimama la huko likawa linamtunza mana jamaa design mvivu,visa vikaanza akawa anasema kwa ndugu mambo mabaya kuhusu rafiki yake aliyemsaidia kufika UK, eti anamuonea wivu na vitu vya ajabu kibaooo!yule kaka akasema akamuita kumuuliza maneno anayosema kuhusu yeye na km kweli alikuwa anamuonea wivu angemsaidia kufika UK?jamaa akakaa kimya?ikabidi amtimue akakae na huyo jimama lake wakati kabla ya hapo alikuwa analishwa na kukaa kwa huyo rafiki yake,hao ndio Wabongo.
Kuna wakati wanakatisha tamaa kuwasaidia kufika nchi za watu.
 
Hii logical fallacy inaitwa non sequitur.
Sawa, lakini haki iwayo yote ni kuwaambia watu ukweli, kuliko kupotosha watu na hata kuwashawaishi kwa mambo ya anasa za kupita yanayoitwa maendeleo ya ukisasa yanayopatakiana kwenye nchi za udayaspora za ulimwengu wa kwanza na kuishia kuingia kwenye maangamivu ya umilele.

Na ukweli huo ni uwepo wa Mungu Mkuu ambaye ndiye chanzo cha uumbaji, anaratibu na ana hatima ya uhai wa viumbe vyote, na kaweka mipaka na nyakati katika mambo yote aliyoyaamuru.
 
Kama kuwa diaspora ni kuamini kwamba Mungu hayupo kama anavyoamini Kiranga, basi huo udayaspora hauna maana yoyote kwangu.
Tafuta Hela unasumbuliwa na Umaskini.

Hakuna uhusiano wa kuwa Diaspora na Mungu. Otherwise una chuki binafsi na Diaspora.

Nenda kaombewe una pepo la husda,chuki na umaskini.[emoji23][emoji23][emoji23]

Cc Tafuta Hela
 
Tafuta Hela unasumbuliwa na Umaskini.

Hakuna uhusiano wa kuwa Diaspora na Mungu. Otherwise una chuki binafsi na Diaspora.

Nenda kaombewe una pepo la husda,chuki na umaskini.[emoji23][emoji23][emoji23]

Cc Tafuta Hela
Mwenzio sina wenge kihivyo, maana mtu kama wewe ungepata fursa niliyopata ya kusoma majuu ndoto zako zote usiku ni kufikiri namna ya kuzamia, pole sana ndugu unasumbuliwa na fikra za kitumwa.
 
Kama kuwa diaspora ni kuamini kwamba Mungu hayupo kama anavyoamini Kiranga, basi huo udayaspora hauna maana yoyote kwangu.
Kiranga ametoka Tanzania ni muumini mzuri wa Kakobe,baada ya kufika nje ya Tanzania kama miaka 2 ndipo akaja na slogani ya Hakuna Mungu,huyu jamaa ni mtu mjinga sijawahi kuona duniani Kiranga
 
Kiranga ametoka Tanzania ni muumini mzuri wa Kakobe,baada ya kufika nje ya Tanzania kama miaka 2 ndipo akaja na slogani ya Hakuna Mungu,huyu jamaa ni mtu mjinga sijawahi kuona duniani Kiranga
Siyo mjinga ni mpumbavu, maana biblia inasema 'Mpumbavu amesema moyoni kwamba hakuna Mungu"
 
Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera.

Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu, unafiki, uzandiki pamoja na ukora tu.

Juzi kuna watu wabongo wajinga wamemchoma mwenzao mpaka ameenda kwa sello kisa jamaa mambo yake yanaenda na anapiga hela nyingi, kwahiyo wajamaa wameamua kumchoma, upuuzi! Nyie wabongo tabia yenu ya kipuuzi huko kwenu muiachane huko huko.
Sasa si bora hata huko majuu hapa hapa bongo unakuta mtu analeta pigo hizo alafu akizidiwa na maisha bado anakutafuta kukupiga mizinga. Kwa sisi tulio hapa nchini tunawaelewa sana cha kufanya ukiwa nje ya nchi kata mazoea na wabongo wajinga wajinga maisha unatafuta mwenyewe kwann usumbuke na watu watakaokurudisha nyuma
 
Hii ni kweli kuna jamaa yeye yupo UK,akamsaidia kijana mwenzio wa kinondoni na akafika UK na akafikia kwake,baada ya ujua mitaa na akapata jimama la huko likawa linamtunza mana jamaa design mvivu,visa vikaanza akawa anasema kwa ndugu mambo mabaya kuhusu rafiki yake aliyemsaidia kufika UK, eti anamuonea wivu na vitu vya ajabu kibaooo!yule kaka akasema akamuita kumuuliza maneno anayosema kuhusu yeye na km kweli alikuwa anamuonea wivu angemsaidia kufika UK?jamaa akakaa kimya?. ikabidi amtimue akakae na huyo jimama lake wakati kabla ya hapo alikuwa analishwa na kukaa kwa huyo rafiki yake,hao ndio Wabongo.
Kuna wakati wanakatisha tamaa kuwasaidia kufika nchi za watu.
Yaani wabongo acha tu,wabongo ni salaam,na kushirikiana nao kwenye misiba tu labda na kwenye sherehe,ingawa mimi sherehe huwa sihudhurii.Misiba Ugonjwa ninashiriki.Yaani wabongo usiruhurusu wakujue,wakuzoee kindani ndani .Hata sumu wanaweza kukuwekea.
 
Yaani wabongo acha tu,wabongo ni salaam,na kushirikiana nao kwenye misiba tu labda na kwenye sherehe,ingawa mimi sherehe huwa sihudhurii.Misiba Ugonjwa ninashiriki.Yaani wabongo usiruhurusu wakujue,wakuzoee kindani ndani .Hata sumu wanaweza kukuwekea.

Yani umemaliza ndugu yangu ni shida sanaa.

Kitu nlichokuja shangaa kuna watu wana kila kitu wadhifa, hela na maisha mazuri ila ni roho mbaya, wivu, chuki na unafiki. Tsh 100 yako wewe inamuuma sanaa. Yani acheni jamani kama hujai experience huezi nielewa.

Ndio nikaja gundua roho nzuri na upendo mtu unazaliwa nayo sio mpaka ufanikiwe ndio unakua na roho nzuri. Nishawahi fanyiwa fitna na roho mbaya na mtu ambae kanizidi kila kitu kwa zaidi ya mara 20 ya vitu nilivyo navyo mimi.

Trust me nliumia sana nikawaza kwani mimi na kitu gani kumzidi yule mpaka anifanyie hivi let alone sijawahi mkosea kwa lolote yet i was very true and loyal kwake. Mtu unacheka na mnakunywa wote ila kwenye michongo behind anaenda kule ananizimia taa (anaharibu big time) sasa mtu huezi chukiwa na wote wengine wakaja wakanipanga kila kitu jamaa anavyonifanyia.

Amini ndugu zangu kuna watu ni mashetani hapa duniani omba sana Mungu akufunulie uwajue ila kwa nnje wana act all saint yani.

Acheni Tu.
Sitaki kabisa ujamaa mimi. Being and Winning alone is the truest happiness. Shirikiana n watu ila kwenye sherehe, magonjwa na misiba tu mengine fanya mwenyewe.
 
Back
Top Bottom