Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

Tatizo liko hapa bhangosha, hicho kiinglish unitafisire sasa mi nshapata makengeza....๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜†.

By the way, Happy June, Happy Summer, Happy half year 2023 ๐Ÿ˜‰.
Happy June, Happy Summer and Happy half year 2023.

Hiyo tafsiri naweza Kisukuma tu!
 
Basi ndio umwambie hayo ili akusaidie, mimi huwa ninapata nafasi za kazi za gulf countries na watu kadhaa nimewaunganisha huko, pia huwa napata za Canada ila gharama zake huwa kubwa.
Bei gani mkuu .Niko interested
 
Ukiwa nchi yoyote usimzoee na kuwa karibuni na mtu anayeitwa Mbongo, Mkenya na Mnigeria. Angalau Wakongoman niliwaona kidogo wastaarabu
 
Hii mentality ya "unapaswa" ni tatizo.

Nikisaidia mtu ni kwa sababu nimependa, si kwa sababu ninapaswa.

Ninapaswa kumlea mwanangu.

Hizo habari za kusaidia wabongo ni jambo la hiyari, sina sharti.

Sielewi kama una tatizo la kuelewa Kiswahili na maana ya neno "unapaswa", au una tatizo kubwa zaidi la kifalsafa la kuona kwamba wewe una haki ya kusaidiwa na watu usiowajua na wasiokujua.

Huna haki hiyo.

Sent from my SM-S908U1 using JamiiForums mobile app
Mamamamee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji13]

Kiranga unashushua asee, sipati picha unachambanana mtu hapo
 
Kwa hivyo nilikujibu, siyo?

Wewe haupo hapa ili kusaidiwa, upo hapa ili ulalamike.

Ndiyo maana umeniita muongo kabla hata ya kunieleza unataka kusaidiwaje.

Sasa hapo utasaidiwa vipi?

Wewe ni aina ya mtu ambaye hata nikikusaidia upate visa mpaka kukukatia tiketi ya ndege utalalamika kwamba nimekupandisha ndege economy class, sijakukatia tiketi ya first class.

Wewe nishakujua kuwa ni wa fungu la kulalamika, mimi sitaki lawama.
Hahahaha daah
 
Mkuu kwenye ukweli huwa sipindishi,jamaa ni muongo na mjuaji,alitaka details nimempa sasa hivi anakuja na ngonjera za akina mfaranyaki!.

Kama si muongo alipaswa anithibitishie kwamba nilichokisema si kweli.

Kwanza sidhani hata kama jamaa yupo Mamtoni,utakuta yupo hapo kwa mtogole anasagia kunguni wenzie akijinasibu yupo nje.

Huyu jamaa ni muongo na tapeli
[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Yaani wabongo ni watu wa ajabu sana, yaani wao wamekalia majungu, chuki, unafiki na ukora tu. Yaani wao wakiona mwenzao amewazidi kwa chochote kile wanaanza kukupiga majungu, nasema hii tabia inakera.

Ndio maana mie huwa napenda kujitenga na wabongo, aisee yaani ni watu ambao wamekalia majungu, unafiki, uzandiki pamoja na ukora tu.

Juzi kuna watu wabongo wajinga wamemchoma mwenzao mpaka ameenda kwa sello kisa jamaa mambo yake yanaenda na anapiga hela nyingi, kwahiyo wajamaa wameamua kumchoma, upuuzi! Nyie wabongo tabia yenu ya kipuuzi huko kwenu muiachane huko huko.
Acha kuwaonea wivu wabongo wanaokaa Ughaibuni chuki zako hazito kusaidia kitu .
 
Nobody, apart from the parents who brought you into this world, is obligated to help you.

And even parents are obligated only to a certain age.

So, when seeking help, humble yourself.

This is a very basic principle in life.
For sure sir[emoji848]
 
Ila wabongo wanachomana sana. Wanawapigia hadi polisi na migration kukuchongea eti urudishwe.

Halafu kuna katabia na hulka flani ka umaskini wabongo wanayo hadi mton. Msosi mtoni siyo big deal lakini eti wanashindana kujaza friji msosi na kuringishiana unabaki kushangaa tu Wtf!
duu kama na wewe mgerasi yamekushinda mimi mnubi nitayaweza?
wabongo nuksi!
 
Wanapata wapi muda wa kupiga majungu mbele huko! Muda wanapata wapi? Anyway kila mtu na experience yake huko mbele.
 
Mkuu, mara ngapi umesikia hizo kesi za kuchomana hivyo? Wangapi wamevuliwa karatasi au kuwa deported sababu walidanganya jinsi walivyopata karatasi zao?

Unajua kumtishia mtu kwamba utamripoti immigration inaweza chukuliwa kama abuse na sheria zipo zinazowalinda?

Kesi za namna hiyo huwa zinaenda court na judge wana power ya ku-override matakwa ya immigration law na kumuacha mtu aendelee kuishi nchini kwa kigezo cha "good moral character." Hii inatokea pale mtuhumiwa anapokuwa ni mtu mwema kwenye jamii yake, mfanyakazi na mlipa kodi. Jaji hata siku moja hawezi fukuza mtu wa namna hiyo.

Mathalani watu wengi wanoomba ukimbizi huwa wanapata makaratasi kwa kigezo hicho japokuwa huwa inachukua muda mrefu. Wakipelekwa mahakamani jaji akiona hawa ni watu wema kwenye jamii na wanamchango kwenye jamii hakuna sababu ya kuwafukuza japo uhamiaji huwa wanataka waondoke nchini kwa kigezo madai yao ya ukimbizi hayana tija ila majaji huwa wanawapa makaratasi right away. Nawajua watu zaidi ya 20 wenye makaratasi kwa njia hiyo toka TZ na nchi zingine.

Ukiona mtu kachomwa aidha kwa sababu hii au nyingine yeyote ile ujue kuna sababu nyingine strong enough mtu huyo kutiwa nguvuni mara nyingi ni criminal offense kama domestic violence, wizi, DUI nk. Hizi offense zinavunja kinga ya good moral character.
Bufa on 1 & 2




Big up
 
Tatizo lako ndiyo hili.

Unajiandikia tu, badala ya kuandika kwa malengo.
We naye fala tu ,kujifaragua kama malaya wa kimboka ,kwanza sidhani hata upo States na kama upo huko ,wewe ndio hao hao malimbukeni kama unaowalalamikia hapa ,wengi mmeopigwa na maisha na mnaishi paycheck to paycheck Kwa minimum wage ,ndio maana mna roho mbaya na chuki za kisenge , mna survive Tu , huna lolote wewe makalio ya nyani wewe .

Na hizo unskilled jobs zenu za kudeki vyoo na kubeba maboksi zinaenda kuisha kama hizo retail na Amazon wanafanya layoffs za maelfu ya watu , huo upuuz wenu wa kudharau watu utaisha tu we subiri tu .
 
Mimi nilishindwa kabisa kuwa karibu na ndugu zangu wakibongo mkuu.

Niliishi kwenye jamii ya wazungu tupu ngozi nyeusi nilikua mim tu hadi nikipita unakuta mtoto ananishangaa ananinyooshea kidole[emoji1787].Mwanzoni niliona upweke na nilimiss kuongea kiswahili na mtu wa kula nae ugali wa kulumangia[emoji1787].

Nikahangaika mpaka nikapata rafiki wa kitanzania.Siku ya siku akanipeleka kwenye party ya kitanzania ila ile party ilinivunja moyo na nikaapa sitaenda tena party za wabongo.Kwanza kwenye ile party kulikua na team mbili za maadui.Kulikua na vitu vya ajabu ajabu vinaendelea kule ndani.Mtu wa kundi A akipita kundi B wanamcheka na kuchamba (Buza style).Mtu wa kundi B akinyanyuka kucheza kundi A anaenda kujiganya anacheza then anamkanyaga makusudi wanazozana wanatulia kidogo ila mwishowe zogo kubwa likatokea jikoni,watu wakamwagiana uji wa ugali.Zogo likawa kubwa likaja mpaka ukumbini.Watu wakaanza kurushiana viti na chupa.Kipande kikanikata chini ya jicho.Nguo zote zikaloa damu.Hadi leo nina alama[emoji1787].
Nilipomuuliza rafik yangu ile vita ilisababishwa na nin nikawa hata simuelew anachonieleza.Mara yule mama mweusi mnene alimleta bwanake kutoka bongo ila alivyopata makaratas tu akamuacha akaenda kumuoa yule msichana ambae ni shangaz wa yule alomkanyaga yule kaka kwa makusud.Mara yule dada ni mmbea sana anatoa siri za mwenzake wakat mwenzake kamsaidia wakat hana pa kukaa.Mara unamuona yule mdada mweupe anajidai kweli halafu anadanganya watu anavaa designer staff kumbe mafeki akiambiwa anakua mkali.Mara yule kamchomea kaka yake yule mpaka akarudishwa bongo.

Baada ya muda nikaona mim na huyo rafiki yangu hatuendani kwa mambo mengi nikamkatia na sikuwa tena na ukaribu na wabongo.
Na hata ningefia kule hakuna mbongo angekuja kwenye mazishi yangu.Ningezikwa na wazungu,wanigeria,waserbia na wa Iran.
Nilijitenga sana na hakuna mbongo aliyenijua.
Duuh kumbe waswahili hivi?[emoji848][emoji848][emoji15]
 
Watanzania wengi hawana akili

Nimewahi kusema hapa ya kwamba huko nje kuna fursa kibao ila huwezi ona watanzania waishio huko akiwemo Kiranga wanakusanua kuhusu hilo,wao wamekalia ujinga na uzwazwa tu.

Ukiuliza fursa huko utaambiwa maisha ni magumu kwa kulipa bills,yaani kila ukiluza utaambiwa bills ni tatizo.

KWA KIFUPI.

WATANZANIA WENGI WAISHIO NJE HUKO HASA MAREKANI NI WAJINGA NA MAZUMBUKUKU
Hahaaaaaa, jamaa anakomaa na kukosoa uwepo wa Mungu eti ndio mafanikio pekee aliyoyapata huko USA
 
Kwa Marekani Visa ya kwenda kuishi na mwenza ni rahisi kuliko visa ya kusalimia au kusoma.

Kwa sababu visa ya kwenda kuishi na mwenza ni immigrant visa, si non immigrant visa.

Immigrant visa unakuwa ushaazimia kuwa unaenda kuishi Marekani, hivyo hapo hakuna swali kama utarudi Tanzania au la. Visa yenyewe ni ya kwenda kuishi Marekani na kuhamia huko.

Labda hii visa inaweza kuwa tatizo kwenye nchi zinazojulikana kwa utapeli kama Nigeria.

Kwanza Tanzania visa hizo si nyingi, pili wanakuwa wana deal na mtu wao ambaye mara nyingi anakuwa raia wao, vitu muhimu watakavyohitaji ni uwe certified na wizara ya mambo ya ndani kuwa huna uhalifu, huyo mwenza awe na documents za kulipa kodi miaka mitatu na awe na uwezo wa kuku support, na sanasana watauliza kama unajua Kiingereza vizuri.

Hapo wakileta uzushi wanajua wana deal na raia wao ambaye anaweza kuwadhibiti Kimarekani huko kwao.
We kiranga watu wanakula za uso pale embassy acha acha....

Consular anakuuliza maswali chapchap hata hasikilizi, utasikia next, hapo umetupwa hakuna cha visa[emoji848]
 
Back
Top Bottom